KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Kusini mlilaaniwa kitambo na hyo laana haitaisha millele mtaburuza mikia mkijitahid mapato yanakuja dar na mwanza tunaboresha miradi ya kisasa nyie mnajengewa mabanda ya kufugia kuku na mnavimba mlivo matakoKwa mazingira hayo sishangai maana kama njaa tuu ni ndugu maendelea mtatoa wapi?
Haka kajumba mbona kanakushushua sana? Kuna nini spesho wewe umeona?Hili jengo kwetu yapo pembeni kabisa kilomita 20 kutoka mjini na ni jumba la kuishi mtu ila kwenu ni jengo la serikali cheki View attachment 2548604
Hivi unajijua kenge ew unaongelea wodi 😂😂😂 ndo maana Jana ulisema njombe Ina hospitali 22 hii ni kia's Gani ufupi hasara Kwa taifa hujui kutofautisha hospital, zahanat,na kituo Cha afyaUnakurupuka kama unapigwa dole la kiume huko nyuma maana huelewi na unaweka picha bila maelezo,picha yenyewe mavumbi tuu hapo pembeni.
Leta Wodi ya gorofa sita kwenye hospital yenu.
Hadithi kamsimulie mkeo,weka Wodi ya gorofa 6 kama Meta.Hivi unajijua kenge ew unaongelea wodi 😂😂😂 ndo maana Jana ulisema njombe Ina hospitali 22 hii ni kia's Gani ufupi hasara Kwa taifa hujui kutofautisha hospital, zahanat,na kituo Cha afya
Igawilo Secondary MbeyaKusini mlilaaniwa kitambo na hyo laana haitaisha millele mtaburuza mikia mkijitahid mapato yanakuja dar na mwanza tunaboresha miradi ya kisasa nyie mnajengewa mabanda ya kufugia kuku na mnavimba mlivo matako
Hilo hko ukute ni taasisi wakat huku ni godauni la nyavu za samakiHaka kajumba mbona kanakushushua sana? Kuna nini spesho wewe umeona?
Njaa na Kansa vimekuharibu..Njombe 👇View attachment 2548606
Kwenu hakuna taasisi? 😁😁😁Hilo hko ukute ni taasisi wakat huku ni godauni la nyavu za samakiView attachment 2548610
Kumbka unashindana na kahama pekee ila unahamia mbeya unataka niingie shinyanga et maana shinyanga ipo juu ya mbeyaNataka jengo la ghorofa 6 la VIP sio Hutu tu Wodi twa kindezi.
Huku kwetu taasisi inajenga majengo marefu mno ghorofa kumi na tano au kumi na point SIO huko mapagaleKwenu hakuna taasisi? 😁😁😁
Utatoa excuses sana
Sawa pimbi mjamzitoHadithi kamsimulie mkeo,weka Wodi ya gorofa 6 kama Meta.
Unakurupuka kama unapigwa dole la kiume huko nyuma maana huelewi na unaweka picha bila maelezo,picha yenyewe mavumbi tuu hapo pembeni.
Leta Wodi ya gorofa sita kwenye hospital yenu.
Kwenu ni hospital kwetu ni shule 👇
Naona uchafu tuu hapo.Nakupitisha mtaan kwangu uone life pimbi mjamzito ewee hii View attachment 2548664View attachment 2548665View attachment 2548666View attachment 2548676
Picha za Kahama ziko wapi?Kumbka unashindana na kahama pekee ila unahamia mbeya unataka niingie shinyanga et maana shinyanga ipo juu ya mbeya
Masikin hyo ni shule unaleta Kwa wanaume njoo rock city uone international school na sio Hilo jengo huku kwetu Kuna jamaa mvuvi hutumia kutunzia nyavu TUIgawilo Secondary Mbeya View attachment 2548612
Mkuu leta shule kali za Mwanza, tuzipeleke kwenye thread ya Dar es salaam vs Nairobi.Masikin hyo ni shule unaleta Kwa wanaume njoo rock city uone international school na sio Hilo jengo huku kwetu Kuna jamaa mvuvi hutumia kutunzia nyavu TU
Mwanza kuna shule gan ya International inayokulikanaMasikin hyo ni shule unaleta Kwa wanaume njoo rock city uone international school na sio Hilo jengo huku kwetu Kuna jamaa mvuvi hutumia kutunzia nyavu TU