Kahama VS Njombe/Mafinga

Yaani huyu mleta mada nimemchunguza alikuwa na chuki sana na kanda ya ziwa! Alivyo bwege alidhani baada ya mama Samia kuingia ataitosa hajui kuwa kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini ndo injini za nchi hii!?
 
Mbwa Nyie Muda wote mnalia na SGR
Ila Kwa kweli Sasa unapost tren ambapo sisi huku ni usafiri Toka dar mpaka kigoma na hatupost maana ni kawaida tuna vitu vizr zaidi ya tren at hatnaga nayo shobo kabisa
 
Pole Kila siku unapost hicho hicho nikujuze hapa mwanza ndo station ya tren ipo inaanzia safari ikifika isaka inaunga mabehewa ya kigoma kuja dar
Sasa nyie mtapost Nini zaidi ya tran yenu kuleta manyumbu dsm mje kushangaa gorofa za kariakoo za wakinga kutoka njombe
 
Mbwa Nyie Muda wote mnalia na SGR
Cheki huyu kenge sisi tulie na SGR wakati mradi huo unaendelea tena hapa town kilomiter moja na point ni flyover
 

Attachments

  • Screenshot_20230220-133656.jpg
    132.3 KB · Views: 4
Unaishi wapi mbwa wewe uku Kuna tren ya mizigo na abiria pia tmeletewa SGR
 
Yan
Ushamba utakuisha lini kuliona gari moja haijalishi na tanroad wanalijua hilo Angalia na mizigo mingi inaenda wapView attachment 2547087
Yan kaka kwel wew huna akili sasa hata hesabu hujui yan ufananishe mizgo inayoenda congo na zambia ulinganishe na mizgo inayoenda kinchi kidg kama cha rwanda na burundi ni aibu snaaa kuendelea kukupa elimu
 
Nimekwambia wewe ni mpumbavu kumbe matusi yote kwa awamu ya tano ni kwa kuwa ulihisi haiwapendi kanda ya nyanda za juu Kusini! Nyie endeleni si mnarais wenu Sugu! Endeleeni kujenga majumbani ya tope kama yalivyojazana hapo Mbalizi! Hiyo Mbeya yenyewe utafikiri zizi la nguruwe! Hakuna mpangilio nyumba za ovyo shagarabagara!
 
Yan

Yan kaka kwel wew huna akili sasa hata hesabu hujui yan ufananishe mizgo inayoenda congo na zambia ulinganishe na mizgo inayoenda kinchi kidg kama cha rwanda na burundi ni aibu snaaa kuendelea kukupa elimu
Amka mbwa ewe Congo tumepakana nayo sisi huku wanaijia samaki kupitia kigoma vipi kenge ew njoo soko kuu la samaki kirumba utakuta wakongo maelfu wanasaga samaki na KUSAFIRISHA minofu, Kenya,Uganda wanapokea na KUSAFIRISHA mizigo hapa mwanza haya Rwanda na Burundi zote ziko hapa na ndo kimefanya uwanja wa ndege kupanuliwa zaidi na kuwekwa hili jengo babu kubwa subiri mama samia anakja kufungua stand ya nyegezi ataongea mengi maana rada tayar ipo Kwa ajili ya ndege zote afrika mashariki zitakazotua Jiji la samaki
 
Ila Kwa kweli Sasa unapost tren ambapo sisi huku ni usafiri Toka dar mpaka kigoma na hatupost maana ni kawaida tuna vitu vizr zaidi ya tren at hatnaga nayo shobo kabisa
Acha ushamba wewe,Levos train ni train ya Utalii kutoka South Africa,huko mashambani haiwezi kuja
 
Yani nimekaa napoteza mda kubishana na mtu ambae anasema Sumbawanga ipo kaskazini mwa Tanzania kwakuwa hujasoma na huelew chchte na hujabahatika hata kutembea miji mingne ndo maana unaona vimji vyenu vya maana kwa hapo tulipofikia naunga mkono hoja kanda ya ziwa kumeendelea kuliko kanda ya kusini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aibu sanaa na kuna mtoto anakuita baba yan mtoto kapata baba mpumbavu sanaaa
 
Tulia dozi ikukae kenge wa kusini Nye logen TU na kujenga nyumba za miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…