ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,301
- 88,330
- Thread starter
-
- #12,801
Kuna nini Cha ajabu hapa? Mbona kabaya?[emoji28][emoji28][emoji28]Kwa hyo ukitumwa terminal utapeleka hii [emoji28][emoji28][emoji12][emoji12][emoji12]
Hii ofisi ya Mwauwasa ni nzuri kuliko hicho kituko [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2534971
Subir sas ijengwe ndo uje [emoji23]Maskini unasikilizia maumivu ya wivu [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Soon ujenzi wa coldrooms unaanza
Bora hata Bukoba Airport ina design ya kipekee...Jengo Kali sana wivu tuu unakusumbua [emoji16][emoji16]View attachment 2534951View attachment 2534952
Nikajua umeiweka hiyo shule kumbe unaongea pumba za wivu na chuki 😂😂😂Bora hata Bukoba Airport ina design ya kipekee...
Hilo jengo halina mvuto wowote...kama shule ya sekondary Rugambwa
Niletee za meta hospital.Nikajua umeiweka hiyo shule kumbe unaongea pumba za wivu na chuki [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtapelekewa moto Hadi mkomeView attachment 2535235View attachment 2535236
Mtaomboleza sanaNiletee za meta hospital.
Acha kushindana na Kanda ya ziwa utaumia .[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....
Maskini Kahama wamepoteana hawana Cha kuonesha 😁😁
Maskini Kahama wamepoteana hawana Cha kuonesha [emoji16][emoji16]
Kazi za kufunga Taa za kuongoza magari na watembea Kwa miguu zikiendelea ndani ya Sumbawanga MC
Bariadi terminal [emoji91]
Kahama zipo toka zaman em toa ujinga [emoji23]Kazi za kufunga Taa za kuongoza magari na watembea Kwa miguu zikiendelea ndani ya Sumbawanga MCView attachment 2535699View attachment 2535701View attachment 2535703View attachment 2535705View attachment 2535706View attachment 2536037