Kahama VS Njombe/Mafinga

Ilemela vs mbeya
[emoji116]Mbeya msipojikojolea mwaka huu ,,uchawi upo
Ile town nyasakaView attachment 2476725View attachment 2476726
Ilemela vs mbeya
[emoji116]Mbeya msipojikojolea mwaka huu ,,uchawi upo
Ile town nyasakaView attachment 2476725View attachment 2476726
Hii ndiyo Nyasaka, ilemela Mwanza Tanzania, lakini lata na nyasaka ya kanisani, nyasaka centre, na nyasaka maduka tisa hii bado ongeza na maeneo mengine ya Nyasaka mkuu.
 
Kwa Mwanza wameona kuna uhitaji mkubwa kuliko huko mashambani.
Kungekuwa Mashambani mbona wasianzie Mwanza 😂😂?
Njaa ikipanda kwenye ubongo Ni hatari sana 🤣🤣

Mnachotaka kujengewa saizi tayari Mbeya imejengewa na Huduma zinatoka,wapi shamba Mbeya au Mwanza?
 
Kuna Kijiji kimoja kilichochangamka kinaitwa Geita,yaani Mafinga Ni pazuri Mara mbili ya Geita.

Video inajieleza,just part of Mafinga.👇
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa sio Tokyo ,au manila
[emoji116]
Mradi huu unabeba mibarabara vya mbeya vyote vinavyojengwa na tactics na chenji ikabaki .
Serikali inawekeza kwenye maeneo potential kama haya
[emoji116]
 
Kungekuwa Mashambani mbona wasianzie Mwanza 😂😂?
Njaa ikipanda kwenye ubongo Ni hatari sana 🤣🤣

Mnachotaka kujengewa saizi tayari Mbeya imejengewa na Huduma zinatoka,wapi shamba Mbeya au Mwanza?
Kipindi bugando inajengwa, na kuanza kutoa huduma za kibingwa kwa kanda ya ziwa, mbeya ilikuwa na idadi ya watu 3750, wakati huo hamna ata kijiji bali ni mapori tu.
 
Kipindi bugando inajengwa, na kuanza kutoa huduma za kibingwa kwa kanda ya ziwa, mbeya ilikuwa na idadi ya watu 3750, wakati huo hamna ata kijiji bali ni mapori tu.
Umehamia huko tena baada ya kuaibika kwenye hospital ya Mkoa 🤣🤣

Hata huko tunapiga za uso,wodi ya Meta Ile mpya huipati Kanda ya ziwa yote hakuna
 
Umehamia huko tena baada ya kuaibika kwenye hospital ya Mkoa [emoji1787][emoji1787]

Hata huko tunapiga za uso,wodi ya Meta Ile mpya huipati Kanda ya ziwa yote hakuna
We ongea yote lakini huna pa kutokea
Geita on [emoji91]... migodi inatema cheche sa hvi wazawa wanashusha vitu [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…