The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Umeshapokea chakula Cha msaada? π€£π€£π€£π€£.Ilemela vs mbeya
Mbeya msipojikojolea mwaka huu ,,uchawi upo
Ile town nyasakaView attachment 2476725View attachment 2476726
Kuna neno njaa hapo ..Hahaha njaaa
Oh . sijui nini ..GDP ya Nyanda za Juu Kusini itatisha Sana mwaka 2022/23
Jengo limeisha unasema imetenga π€£π€£,njaa mbaya sana
Eti limeisha ..Hilo jengo lililoisha linaitwa jengo la mama na mtotoJengo limeisha unasema imetenga,njaa mbaya sana
Pole Sana yaani Hadi Leo hii hamna EMD,OPD na Jengo la dharura?Eti limeisha ..Hilo jengo lililoisha linaitwa jengo la mama na mtotolinaenda kujengwa jengo la opd ,ICU ,na emergency
Soma hapo we mdumavubView attachment 2476775
Aliyekuambia hamna nani ...inafanyika re development,, kuboresha kutoka majengo ya zamani...kuja jengo jipya la kisasa.Pole Sana yaani Hadi Leo hii hamna EMD,OPD na Jengo la dharura?
Mbeya tayari tunazo siku nyingi Sana
Yako wapi? Tunaongea na ushahidi sio HadithiAliyekuambia hamna nani ...inafanyika re development,, kuboresha kutoka majengo ya zamani...kuja jengo jipya la kisasa.
Hizo ngonjera wapelekee wasafwa wa hapo nsalaga..Yako wapi? Tunaongea na ushahidi sio Hadithi
Ww nenda kachukue msosi wa msaada huko njaa itakuuaKuna neno njaa hapo .....mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe
Nilishakwambia Mji pekee wa ku challenge Miji yetu Ni Bukoba tuu,hivyo Vijijini vingine hamna kitu,Barabara hazina hata service roads?Hizo ngonjera wapelekee wasafwa wa hapo nsalaga..
Shy town street by night is brightView attachment 2476844View attachment 2476845View attachment 2476846
Kwani hizo wanapewa bure? Watu watanunua kwa pesa zao, ingekuwa ni mahindi ya msaada hapo sawaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ Wazee wa madini π
Nilishakwambia Mji pekee wa ku challenge Miji yetu Ni Bukoba tuu,hivyo Vijijini vingine hamna kitu,Barabara hazina hata service roads?Hizo ngonjera wapelekee wasafwa wa hapo nsalaga..
Shy town street by night is brightView attachment 2476844View attachment 2476845View attachment 2476846
Unaelewa maana ya msaada? πππππKwani hizo wanapewa bure? Watu watanunua kwa pesa zao, ingekuwa ni mahindi ya msaada hapo sawa
πππ we msenge sana, kwa hiyo kuna kituo cha afya ambacho hakina jengo la OPD, au EMD.Yako wapi? Tunaongea na ushahidi sio Hadithi
Unaonesha jengo la ghorofa moja wakati wenzenu Mwanza watajengewa jengo la ghorofa nne, poleni sana.