The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Eti hii ndio Manispaa Ina tumajengi twa kutafutiza na mavumbi Kama yote ππBy then kahama ni next level..size ya mbeya..
[emoji116][emoji116]
Machali Tower [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2463687View attachment 2463688View attachment 2463689
Kenya, Uganda, Rwanda.HAHa we jamaa ko Kanda ziwa ndo mmezungukwa na nchi tajiri acha kujitoa ufahamu mzee nchi za SADC zinaeleweka
By then kahama ni next level..size ya mbeya..
[emoji116][emoji116]
Machali Tower [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2463687View attachment 2463688View attachment 2463689
Wewe unaonaje? Sasa kwa akili yako fupi hujiulizi kwa Nini mzigo wa Dar port 90% unaenda Nchi hizo unazosema wewe Ni hamna kitu?Kenya, Uganda, Rwanda.
Utalinganisha na Zambia, Congo, Msumbiji, sijui Malawi?
We jamaa huwa unanifurahisha Sana kuleta updates za Njombe na Makambako ππ.Hii ipo njombe tc inafanyiwa finishing zenye gorofa zaidi ya Tano njombe zipo 5 makambako zipo tatu na bado kazi zinaendelea
View attachment 2463961
Yule jamaa wa Kahama ndio kazi yake,the so called Manispaa Ina tugorofa twa kutafutiza kila siku hiyo huyo Hadi anakera.View attachment 2463943Usijitoe ufahamu angalia HiYo ipo songea sio Kila Muda mnageuza geuza kipicha kimoja