The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Ngoja niendelee kurudia hadi uombe poo.Utarudia picha Hadi maji uyaite mma ...nataka jengo Moja tu la multibilion ,,,kama NSSF au Machali ....,[emoji14][emoji14][emoji14]hivyo vijengo mjinga vyakko kahama vipo vingi sana na sitaki kuvipost
Endeleeni kuokoteleza mabweni ya watoto wa shule na masisita. Kwenye majengo nishakupiga nne bila .Ngoja niendelee kurudia hadi uombe poo.
Njombe[emoji116]
Kahama ni mtoto mdogo sana kwa Njombe 👇[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji706]
Haya maduka huko kwenu ndio mnaita Hotel au? 😬😬Endeleeni kuokoteleza mabweni ya watoto wa shule na masisita. Kwenye majengo nishakupiga nne bila .
Leta investment za maana kama hizi.brand kubwa kama little more Huwa Iko kwenye majiji tu sehemu ambapo watu wanapurcahsing power..viazi town hamwezi kuletewa investment za shopping kama hizi [emoji116]View attachment 2345836View attachment 2345837
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji14][emoji14]hiv umelewa kweli ulichokoment hapo ..hyo ni super market inaitwa liite moreHaya maduka huko kwenu ndio mnaita Hotel au? [emoji51][emoji51]
Kama Supermarket ile ya Mwanza iko empty sembuse huko kwa washamba Kahama? Nani ata shop na watu ni washamba?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji14][emoji14]hiv umelewa kweli ulichokoment hapo ..hyo ni super market inaitwa liite more
,[emoji14][emoji14][emoji14][emoji28]naona umeishiwa had unapost vumbi ... supermarket gan mwanza imefungwa wew acha kuropoka [emoji14][emoji14][emoji28]Kama Supermarket ile ya Mwanza iko empty sembuse huko kwa washamba Kahama? Nani ata shop na watu ni washamba?
Njombe [emoji116]
Endeleeni kuokoteleza mabweni ya watoto wa shule na masisita. Kwenye majengo nishakupiga nne bila .
Leta investment za maana kama hizi.brand kubwa kama little more Huwa Iko kwenye majiji tu sehemu ambapo watu wanapurcahsing power..viazi town hamwezi kuletewa investment za shopping kama hizi [emoji116]View attachment 2345836View attachment 2345837
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Tutolee uchafuView attachment 2346055
Haya hizi ndo project za maana sio vimaduka uchwara na soon tunakuletea project nyingine Kama hi ndan ya makambako iliyo shehen nayo maduka na hi Ni makambako
Sasa Kumbe jibu unalo hii kampuni makao makuu ni Njombe Mji mwema street,watoto wa mjini wanamwita mwarabu wa njombeKo unataka kusema ni njombe fuel station . pumbavu kweli[emoji28][emoji28]
Unakera na kirudia rudia mapicha kila siku..[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Tutolee uchafu
Project ni hzi[emoji116][emoji116]View attachment 2346073View attachment 2346074
View attachment 2346075View attachment 2346082View attachment 2346086
Kiboko ya Bukoba..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkiacha kupauka labda mtaisogelea bukoba View attachment 2345251
Kusini nzima unganeni kote kahama sio size yenu [emoji116] kubafu nyieHolland Hotel Sumbawanga [emoji116]
[emoji95]Kusini nzima unganeni kote kahama sio size yenu [emoji116] kubafu nyie
Hotel gaprena.... igalilimi [emoji95][emoji95]View attachment 2346832View attachment 2346833View attachment 2346834