Kahama VS Njombe/Mafinga

Shinyanga ina kaupendeleo tu kisa iko barabara kuu, ila kwa speed ya sasa ya kahama inapitwa mengi.
.
Njombe haipafikii Kahama japo inawekewa kauzibe sana
Hata kauzibe kawekwaje Njombe itakuwa na kuzipita Iringa na Songea ndani ya miaka 10-15 ijayo, ule ni mkoa wa fursa na wachapakazi.

Shinyanga sio kwamba inapendelewa, hapana ilisha consolidate position yake miaka mingi kabla ya migodi Kahama ilikuwa kijiji wakati tayari shy ni mji mkubwa na pili shy ina fursa ya kujengwa viwanda coz iko tambarare na iko jirani na Mwanza.
 
Yaani kwenye mapesa mengi ya mbao na kila mazao ndo ulinganishe na Kahama bush huko?
Kahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.

Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama Kahama?

Una bahati mbaya nakujua Njombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kahama iko juu.
 
Shinyanga-Mwanza ni mbali sana wewe mtu wa Njombe una matatizo.

Ona una ndoto mfu tena kwamba Njombe baada ya miaka 10-15 itazipita Iringa na Songea hivi hao watu wa Iringa watakuwa wamelala tu?

Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
 
Sio mbali wewe, nimeishi Mwanza 3 yrs ni only 160 km to Shinyanga. Miji hiyo kupitwa au hapana ni factor ya growth rate ambapo kwa sasa iko favourable kwa Njombe kuliko Songea na Iringa so tofautisha kukimbia na kutembea.

Imagine barabara ya Njombe Ifakara na Njombe kudewa, Mbamba bay na Njombe, Makete Mbeya zikikamilika hiyo speed ya ukuaji itakuwa mara mbili ya sasa wakati Iringa na Songea hakuna jipya barabara zake kuu ziko operational tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…