Kahama: Gari la Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, limepata ajali

Hili ni tatizo kubwa sana na pengine watu wa magari ya viongozi na viongozi wao wataendelea kupata ajali! Inasikitisha sana kwamba sheria za barabarani na tochi za ma traffic police zinatuhusu tu sisi walala hoi,hata pale unapotakiwa kuendesha 50km per hr ukizidisha tu 51 unapigwa faini ila hao wenye nchi yao magari yao yanapita sehemu hiyo hiyo yakiwa na speed 140 km/hr lakini polisi hawawafanyi chochote! It is when rule of law shall be abided to everyone yaani sheria isitazame ni yupi kafanyakosa ila ichukue mkondo wake....

Sent using Jamii Forums mobile app

Inabidi tuanze kuwapiga picha na kuzituma hapa kama ushahidi, siyo kwenye 50 peke yake hata kwenye maeneo yasiyoruhusu ku overtake wao wanakiuka, na mbaya zaidi huko kwenye kona ukikutana nao full light na speed ni 100+ inabidi wewe utoke nje ya barabara uwapishe, muda mwingine huwa nafikiria kwanini wasiwawekee lahe zao ili kutunusuru!?
 
Laana za kupinga Kifo cha Mwanafunzi eti ni Bahati mbaya zimeanza kufanya kazi. Ajiangalie.
 
Hivi kaolewa kweli!
Kuwa na mke kiongoz ni taabu kila siku safarini

don't invest in a woman
Wanaowatombaga hao ni madefeva na walinzi wao...Waume zao majumbani ni gheresha tu...na wengi ni kula kulala na kusimamia mali za familia...hivyo na wao unakuta wana idemu kibao, full bata.
 
Inabidi tuanze kuwapiga picha na kuzituma hapa kama ushahidi, siyo kwenye 50 peke yake hata kwenye maeneo yasiyoruhusu ku overtake wao wanakiuka, na mbaya zaidi huko kwenye kona ukikutana nao full light na speed ni 100+ inabidi wewe utoke nje ya barabara uwapishe, muda mwingine huwa nafikiria kwanini wasiwawekee lahe zao ili kutunusuru!?

Kwa kweli ni shida.
 
Back
Top Bottom