The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,396
- 20,631
Nina quote aliyetoa hizi taarifa"
"Yani kuna mdada 1 katokea zenji anajiuza sasa kaja Dar anaishi guest almost a month now hafu kaja na mtoto wake wa 5yrs anakaa naye hapo Sinza Kijiweni hafu analeta wanaume palepale anamuambia yule mtoto atoke nje anafunga mlango wanadinyana hata mpaka saa 4,5 usiku mtoto yupo nje wala hajali inabidi yule mtoto azunguke mtaani sasa kubuyu time akirudi anagonga mama anamwambia subiri.
Siku niliomuona huyo mtoto alikuja salon niliyokuwepo kawazoea hao wadada wakaanza kumtania mbona umekuja huku sahizi? "Akajibu nanukuu, yaani mama ananichosha na mambo yake kanifungia nje anasema anaongea na anko lakini yule sio anko mie najua, akaendelea akasema ningekuwa na ndugu hapa Dar ningeenda kukaa huko na akasema mama huwa ananifungia gesti usiku anaondoka anarudi asubuhi sijui anaendaga wapi, akasema wakati mwingine anakuja na anko usiku ananishusha kitandani nalala chini yeye analala na anko kitandani hafu wanapiga kelele kelele zikizidi iwanawasha Tv"
Hayo ni machache tu niloweza kuandika, yani i felt like crying jamani nikawaza mpaka nikakosa majibu,akaondoka akaenda kugonga tena hawakufungua muda huo she was hungry n thirsty she feel mkojo hana means basi ikabidi tuombe mtu amtafutie choo akaenda then alivyorudu nikampa hela ya chips na water akanunua akala saa 4 huyo usiku mimi nimeondoka pale wanataka kufunga salon bado maza kamfungia inaniuma sana"
Mwisho wa kunukuu
NB: Kama kuna mtu wa vyombo vya usalama humu au wanasheria, au mtu yoyote anayeweza kumsaidia huyu mtoto apate haki zake kama mtoto naomba ani PM nimpe namba za aliyetoa taarifa ili waweze kusaidia kumsaidia mtoto huyu, ningekuwepo DSM hakika huyu kahaba angeipata.