Kagera: Watu wasiofahamika wachoma gari la Hakimu

Magazetini

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
593
Reaction score
1,713
Mkuu wa Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama katika Wilaya hiyo kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaodaiwa kuchoma moto gari la Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda wilayani humo, Emmanuel Sheiza nyumbani kwake.

Nguvila alitoa agizo hilo jana Mei 9, 2022 alipotembelea eneo la tukio na baadaye kuongea na wanakijiji wa kitongoji cha Nyamilanda na kuelezea masikitiko yake.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo watu wasiofahamika walichoma moto gari la Hakimu huyo ambaye anaishi kwenye nyumba za Mahakama zilizopo jirani na Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda.

Mkuu wa Wilaya huyo amesema "Tayari tukio hili la kusikitisha limesharipotiwa katika vyombo vya ulinzi na usalama na uchunguzi unaendelea ili kuwakamata wahusika wote na hakuna hata mmoja atakayekwepa mkono wa chuma wa sheria"

Millard
 
Hapo kuna tatizo tayari kati ya mahakama/hakimu na wakazi na mpaka kufanya hilo tukio ni kwamba juhudi nyingine zozote za suluhu zilishagonga mwamba.. Uonevu na kunyimwa haki... Wenye nacho dhidi ya fukara... Njia pekee ya kutoa maumivu ama kupeleka ujumbe ni hiyo...
Hapo ni lazima nguvu kidogo itumike na hekima nyingi itawale.. Chombo kama TAKUKURU kihusishwe kwenye uchunguzi.. Kuwatafuta watuhumiwa kiwakamata hata kwa hisia tu na kuwatesa hakutaponya majeraha bali kutazidisha uchungu hasira na visasi
 
TAKUKURU wenyewe sikuizi ni walewale
 
Mkuu wa Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama katika Wilaya hiyo kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaodaiwa kuchoma moto gari la Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda wilayani humo, Emmanuel Sheiza nyumbani kwake.

Nguvila alitoa agizo hilo jana Mei 9, 2022 alipotembelea eneo la tukio na baadaye kuongea na wanakijiji wa kitongoji cha Nyamilanda na kuelezea masikitiko yake.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo watu wasiofahamika walichoma moto gari la Hakimu huyo ambaye anaishi kwenye nyumba za Mahakama zilizopo jirani na Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda.

Mkuu wa Wilaya huyo amesema "Tayari tukio hili la kusikitisha limesharipotiwa katika vyombo vya ulinzi na usalama na uchunguzi unaendelea ili kuwakamata wahusika wote na hakuna hata mmoja atakayekwepa mkono wa chuma wa sheria"

Millard
Aisee.

Loh
 
Hivi watu wanajiamini kitu gani? Tracing back ni rahisi sana!
Tafakari kabla ya kuchukua hatua!
Tafakari kabla ya kuoa! Muwako wa mwili ni wa muda sana, baada ya muda kidogo sana unaanza kujuta, ukiwaona mabachela wa rika lako walivyo free huku wewe muda wa kurudi nyumbani ni saa kumi na mbili jioni!!
 
Usikute hakimu kala Mlungula jambazi lilikohukumiwa miaka 30 linaachiwa huru unategemea nini,Kifuatacho ni Ku deal na hakimu tu na baadae kumsafirisha Jambazi ahera.
 
Hivi kwenye nyumba za mahakama ina maana hakuna ulinzi hata wa suma JKt? Au alikua loji?
 
Kama hakuwa 'fea' kwenye desisheni basi hayo ndiyo matokeo yake..........maana baadhi yao wanapora sana haki za watu
 
Back
Top Bottom