road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Walipaswa kumuua
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ana mshahara gani wa kupata hela ya kununua gari tena linaonekana kama harrier hivi. Ingekuwa wa kuanzia Mkoani sawa. Wamezidisha rushwa hawa watu. Polisi wachunguze waliochoma na PCCB wamchunguze hakimu kapata wapi hela.Mkuu wa Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama katika Wilaya hiyo kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaodaiwa kuchoma moto gari la Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda wilayani humo, Emmanuel Sheiza nyumbani kwake.
Nguvila alitoa agizo hilo jana Mei 9, 2022 alipotembelea eneo la tukio na baadaye kuongea na wanakijiji wa kitongoji cha Nyamilanda na kuelezea masikitiko yake.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo watu wasiofahamika walichoma moto gari la Hakimu huyo ambaye anaishi kwenye nyumba za Mahakama zilizopo jirani na Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda.
Mkuu wa Wilaya huyo amesema "Tayari tukio hili la kusikitisha limesharipotiwa katika vyombo vya ulinzi na usalama na uchunguzi unaendelea ili kuwakamata wahusika wote na hakuna hata mmoja atakayekwepa mkono wa chuma wa sheria"
Millard
Hao Takukuru wenyewe Nao ni Wahuni TuHapo kuna tatizo tayari kati ya mahakama/hakimu na wakazi na mpaka kufanya hilo tukio ni kwamba juhudi nyingine zozote za suluhu zilishagonga mwamba.. Uonevu na kunyimwa haki... Wenye nacho dhidi ya fukara... Njia pekee ya kutoa maumivu ama kupeleka ujumbe ni hiyo...
Hapo ni lazima nguvu kidogo itumike na hekima nyingi itawale.. Chombo kama TAKUKURU kihusishwe kwenye uchunguzi.. Kuwatafuta watuhumiwa kiwakamata hata kwa hisia tu na kuwatesa hakutaponya majeraha bali kutazidisha uchungu hasira na visasi
Hakuna Cha at least Mzee MshanaBut at least they should try
Kwa level ya Mahakama ya Mwanzo, Hakuna adhabu hyoUsikute hakimu kala Mlungula jambazi lilikohukumiwa miaka 30 linaachiwa huru unategemea nini,Kifuatacho ni Ku deal na hakimu tu na baadae kumsafirisha Jambazi ahera.
Mahakama ya Mwanzo mahakimu wote ni Wale ambao ni Mawakili, Salary Yao Iko vzrHakimu wa Mahakama ya Mwanzo ana mshahara gani wa kupata hela ya kununua gari tena linaonekana kama harrier hivi. Ingekuwa wa kuanzia Mkoani sawa. Wamezidisha rushwa hawa watu. Polisi wachunguze waliochoma na PCCB wamchunguze hakimu kapata wapi hela.
Sawa,ila nimetoa kama mfano tuKwa level ya Mahakama ya Mwanzo, Hakuna adhabu hyo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu wa Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama katika Wilaya hiyo kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaodaiwa kuchoma moto gari la Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda wilayani humo, Emmanuel Sheiza nyumbani kwake.
Nguvila alitoa agizo hilo jana Mei 9, 2022 alipotembelea eneo la tukio na baadaye kuongea na wanakijiji wa kitongoji cha Nyamilanda na kuelezea masikitiko yake.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo watu wasiofahamika walichoma moto gari la Hakimu huyo ambaye anaishi kwenye nyumba za Mahakama zilizopo jirani na Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda.
Mkuu wa Wilaya huyo amesema "Tayari tukio hili la kusikitisha limesharipotiwa katika vyombo vya ulinzi na usalama na uchunguzi unaendelea ili kuwakamata wahusika wote na hakuna hata mmoja atakayekwepa mkono wa chuma wa sheria"
Millard
OK OK basi saawa
sawa umenena vema.Hapo kuna tatizo tayari kati ya mahakama/hakimu na wakazi na mpaka kufanya hilo tukio ni kwamba juhudi nyingine zozote za suluhu zilishagonga mwamba.. Uonevu na kunyimwa haki... Wenye nacho dhidi ya fukara... Njia pekee ya kutoa maumivu ama kupeleka ujumbe ni hiyo...