Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Huku MULEBA KUSINI Anna Tibahijuka amekamatwa vibaya sana na Alistides Kashasira
 
Jamani hebu tuacheni taarifa za kinazi
Kama huna uhakika ni bora ukaweka wazi maana mnatuchanganya bana
 
Updates :ni kagasheki ubunge jimbo la bukoba mjini
matokeo rasmi yanatangazwa hivi punde na mkurugenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…