Kagera/bukoba villages gallery

Leteni na zile Picha za tetemeko kina bibi wanaililia government
 
Safi sana.. Nilikuwa maeneo ya Itongo, Nshamba Dec iliyopita ni balaa tupu. REA imepita kila nyumba imevuta umeme, Jana naibu waziri analalamika pwani watu wamepelekewa umeme ila muitikio ni mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mkoa wa Kagera watu wake si mchezo watu wanajenga nyumbani ,kila nyumba sasa hivi ni REA kuna muitikio mkubwa sana. Hivo vijiji ulivovitaja nimepiga sana misele katika kuchukua mazoezi ya ujana. Ahahahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…