Kagera/bukoba villages gallery

Sasa nyumba Kama hziiii ukazitupe porini ya kazi gan....Raha ya mji ishi mjini cyo ....mji uko Kama kijijin kwetu
Hayo ni yako na tamaduni za mkoa wako.


Hebu fikiri vijiji vyote tz vingekuwa na nyumba nzr Tanzania ingekuwa na mandhari gani.
Mkoa wa kagera umekuwa mkoa wa Kwanza Tanzania Kwa high number of rural population na ndo mkoa wa Tatu Kwa Idadi ya watu nchini baada ya dar na mwanza kadiri ya NBS. Sababu ni mfumo wa maisha vijijini.

Siku hiz vijiji vya bukoba vinaenda kuwa miji kabisa kuna mpana miniclubs huko vijijini.
Hebu enjoy vijiji vya wahaya huko bukoba


 
Uwekezaji wa elimu ni mkubwa mno katika mkoa wa kagera.

NB.
Mtu mmoja Kati ya 4 mkoa wa kagera ana degree.

Rudi muwekeze kwenu nyie wahaya mliokimbilia Dar kama hawa walivyofanya
 
Maeneo ya stendi ya matope bukoba.

Sijui stendi wanaanza lini kujenga
 
Hapo aliposimama huyo mama nimekula Sana supu, ni my second favourite place ukitoa pale sky hotel darajani
Victorious perch hotel.

Sasa hiv sehemu za supu na nyama choma zimekuwa nyingi bukoba.

Kuna.
West end bistro
Eco beach bunena nk
 
Bukoba town nayo si hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20201227-152059.jpg
    37 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…