Anzisha Uzi wako upasifie huko kigomaUkiwa nankwende ndani kule, utaambiwa dar kuzuri sana, majumba makubwa kabisa yako dar, ila haimaanishi kuwa dar nzima kuna majumba mazuri, hapana, hata nyumba za hovyo zipo, tena hovyo.
Kwahiyo hata hizo picha si kweli kuwa huko kagera nyumba zote ni tamu.
Kagera inazidiwa na Kigoma.
Mtu ambae ameishi mda mrefu Arusha halafu siku moja ukampeleka Bukoba akaishi huko, hatachukua siku mbili hajaungua ugonjwa usiokuwa na tiba
Leta hata picha ya kijijini kwako
Hukwenda vijijini hukaona maajabu.halafu nyumba nyingi zilizoangushwa na tetemeko zilikuwa za zamani na bukoba mjini ndo iliathirika vibaya hasa mitaa mikongwa ya mji huo.ndo maana hata shule ya ihungo iliporomoka yote kisa uzeeeMbona wakat wa tetemeko picha za bukoba hazikuwa hivi...mimi nilikuwa huko wiki 2 zilizopita sikupata muda wa kutembea sn...ila mazingira ya shule ya Kaizirege ni mazuri sn
Missenyi sehemu gani mkuu?Mimi natoka Misenyi na picha ya kijijini kwetu ndio hiyo yenye kiwanja cha golf!!!