Kagasheki arusha jiwe gizani

Kagasheki arusha jiwe gizani

Chadema wanasema wanachukia ufisadi, ila baada ya kuletewa tingatinga wameingia mtini
 
Naona twitter inatuonyesha wanaume wapenda mipasho.. maana duh!!!

Kama Donald Trump vile......

Lakini bahati mbaya Mugabe wa Bongo Darisalama hajui hata maana ya "twita" achilia mbali kitendo chenyewe cha "kutwiti"

Haa haa haa, information is power na twita ni medium tu ya ku - transfer information from point A to point B....

Tafsiri ya kuona kuwa ni mipasho iko kwako wewe mpokea taarifa...!!
 
Anamaanisha Watu walitamani Dikteta Sasa kapatikana wanlalamika!
Fikiri tena mzee wa darisalama. Hii haiwezi kuwa maana yake. Angelitumia neneo lenye maana ya kulalamika hapo sawa. Kwa tuliobobea kwenye "kimtang'ata", hapo kinachomaanishwa ni kwamba, ukijinadi kuandaa mchezo wa mpira, na kama unajinadi katika huo mchezo haki itawale na ndiyo iwe culture ya game, usitafute upande wala usitafute "wachezaji" wa kukodi au kuongeza nguvu za misuli. Sijui umeelewa wewe mzee wa darisalama???

Ukijinadi kufanya overhaul reforms katika kila kitu, basi wacha reforms hizo zijipime zenyewe na zilete matokeo zenyewe kama unaamini reforms zako ni sahihi. Usiseme wewe mpenda haki halafu usiku unawaambia wasimamia haki wavunje haki. Ukisema wewe msema kweli na unaipenda kweli, basi na watakaokuambia kweli pia wape nafasi wakuambie. Naweza kuijaza JF yoye hii kunyambulisha maneno hayo lakini....

Sasa sijui anaambiwa nani maneno haya lakini tafsiri sahihi yaweza kuwa hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom