Chebacheba
Senior Member
- Dec 15, 2011
- 116
- 11
Waziri Kagasheki kwa mara nyingine ameendelea kuonyesha ni jinsi gani asivyomudu wadhufa aliokabidhiwa baada ya kukalia vibali vya kuvuna misitu vilivyotakiwa kuwa vimeshatolewa na misitu kuwa inavunwa muda huu.
Hapa wizarani kila mtu ameshangazwa na hali hii kiasi cha watu kumkumbuka Maige maana kitendo cha makusudi cha Kagasheki ni kujenga mazingira ya rushwa tu na hakuna jingine.
Sasa hivi masika yanakaribia na misitu huvunwa kwa wakati maalumu, Kagasheki hajali hilo bali ameendekeza njaa na ubinafsi tu.
Nadhani ikifanyika reshuffle tunaoimba mtukufu Rais atuondolee huyu mtu ambaye hapatani na kila mtu hapa kuanzia naibu wake hadi katibu mkuu na wakuu wa idara. Na ikiwezekana asipewe wizara yoyote maana hana analofanya zaidi ya kuleta migogoro tu kama alivyofanya kwao Bukoba