Kagame tour of Eastern Province in pictures

Kagame tour of Eastern Province in pictures

murutongore

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
2,051
Reaction score
639
Hivi kweli tukiuliza Great thinkers walioko humu...do these Rwandans (proud Rwandans) read or give a shit about what these genocidaires jMali spew in this forum? Hivi kweli hawa interahamwe wataanzia wapi?

Ushauri wangu kwa hawa remnants wa genociders.....ombeni uraia huko manake kurudi huku ndio baaaaasi. The first line of our defence ni hawa wananchi ambao wamepiga hatua halafu eti aje jMali aanze kuwakumbusha mambo waliyoyafanya kama kuwabaka watoto, akina mama, na wazee vikongwe.

1416178408k2.jpg

Residents of Nyagatare welcome President Kagame and First Lady Jeannette Kagame to the district on November 13.

President Paul Kagame last Friday concluded his tour of the Eastern Province with calls to residents to work hard for self-reliance. During the tour, President Kagame met with opinion leaders and interacted with residents through question and answer sessions.

He challenged residents to guard jelously peace and work together to develop the nation that was brought to near extinction by the 1994 Genocide against the Tutsi.

1416178809k5.jpg

Residents of Nyagatare welcome President Kagame.

1416179031k4.jpg

President Kagame interacts with opinion leaders in Kayonza District during the question and answer session. Looking on is Eastern province governor Odette Uwamaliya.

1416179268k3.jpg

Residents of Nyagatare District entertain President Kagame on his visit to the area.

1416179456k7.jpg

First Lady Jeannette Kagame (C) chats with Infrastructure minister James Musoni (right), and the Minister in the Office the President's Office, Venantie Tugireyezu, when the President met with opinion leaders from Eastern Province in Kayonza District.

1416179890k6.jpg

President Kagame interacts with opinion leaders during the question and answer session in Kayonza District. Left is Local Government minister Francis Kaboneka while, right, is Eastern Province governor Odette Uwamaliya.

1416180274k12.jpg

One of the Eastern Province opinion leaders poses a concern during the question and answer session in Kayonza District on November 13.

1416180582k9.jpg

Nyagatare residents perform a traditional dance as they welcomed the President to the district.

1416180779k1.jpg

President Kagame with First Lady Jeannette Kagame (right) and Local Government minister Francis Kaboneka in Nyagatare District.

1416181148k8.jpg

Grace Kampirwa poses a question to the President during the question and answer session in Gatunda, Nyagatare.

1416181386k10.jpg

Nyagatare residents entertain President Kagame and First Lady Jeannette Kagame, during their visit to the area on November 13.

1416181637k11.jpg

President Kagame is welcomed in Kirehe Distict on November 14

Talkandtalk, Commanche, MUKAMASIMBA, Koba, @Umsoplagas, mchambawima1
 
Napita ntarudi baadae wakishachangia watu ili na mimi nipate pa kuchangia. Ila nimezipenda sare za RDF
 
jMali atasema hawa wote ni wa-Tutsi na kwamba hatuna Hutu anayempa support Rais Kagame hahahaha
 
Nimeipenda comment yako jMali
 
Last edited by a moderator:
jMali

Wishful thinking. Dreaming is allowed here. Just like your dream of returning to Rwanda. It will remain just that. A DREAM BOOOOY!
 
Last edited by a moderator:
jMali umempa jibu staiki hasa kama anajua kusoma alama za nyakati, maana ameokoteza picha za 2013.
 
Last edited by a moderator:
Dah hiyo response ya jMali ni nomaaa inabidi murutongore ujipange tena. Mi nafuatilia huu mtanange hadi mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Kuna nchi zina bahati sana ya kupata ma rais
 
We jMali... Kwa taharifa yako unabahati sana hauko huku na mungu akusaidie ubakie huko huko, hizo sumu zako huku zingekucost sana.
Jumapili wenzako ni siku ya kwenda kanisani au kutembelea/kutembelewana ndugu/majamaa, chakushangaza ndugu yangu wewe; ndio siku yako kuu yakuharibu na kunadi ukabila? Kwa hiyo ntaongeza kukupata live Jumapili? Kanisani ntaacha; nisalie nyumbani, nikifanikiwa kukutowa pepo wabaya kama wanzako walio rudi makwao na hivi wanakula bata tu, nina imani mbele ya mungu itakuwa ni sara isiyo nakifani.

Rwanda unayo fikilia/pendekeza, siyo hivyo! Huku kwenu nidhamu sio jambo la hiari bali ni an obligation kwa kila mkazi/mgeni wa Rwanda. Na hilo jambo nililishuhudia mwaka 1995 nilipoenda kumpokea mgeni, ndugu yetu kabisa wakitanzania, kipindi hicho bado Kagame hajatuletea 4G network, ikabidi mgeni wetu tumuelekeze Parking ya malori yanayotokea nchi za nje, kufika pale tukakuta mzee ana kesi ya kusingiziwa kufungua mlango wa Gari yake na kumgonga mwanajeshi aliye vaa kiraia, kusudi tu atoe kidogo dogo, kutuona ilikuwa kama sherehe, akaanza kutuambia jinsi matatizo yalivyompata, kajaribu kuonga lkn mwanajeshi anataka pesa kubwa, ingawa nilikuwa na Baba yangu mzazi, ushenzi wa yule mwanajeshi ulinifanya nimpe makofi ya harakaharaka na kwa bahati mbaya/nzuri kulikuwa na patrol ya wanajeshi, kutuona tu wakaja, waka mruhusu mdingi apeleke mgeni wake nyumbani kwanza, halafu arudi kufwatilia kesi, yule mgeni hata hakukubali basi tukaenda wote kituoni, wote tukajieleza kwa bahati nzuri kumbe yule jamaa alikuwa kajipatia week end kutoka kambini bila ruhusa weee mbona alikoma!!! Ingawa nilikuwa na kesi ya kumzaba vibao mwanajeshi mwenzao; kumbe makosa yake yalikuwa makubwa kuliko yangu jamaa kazi yake ilikuwa kubananisha watu wenye platenumber za nje ya Rwanda na kuwala pesa kwa visingizio, Sisi tukaruhusiwa kwenda nyumbani, kwani niliact ku defend mgeni wa Rwanda na kumtoa mikononi mwa maharamia waliokuwa wakitaka kumdhulu, weee Mgeni wetu mbona alitaka kuzimia, eti kuanzia leo najipa ubalozi wa Rwanda popote nta'po enda, nakusema eti pamoja na uzee wake ni mara yake ya kwanza kushuhudia haki kati ya raia na mwanajeshi ikitendeka.

Rwanda ya leo siyo ile utakayo ipata kwenye inyenyeri au Jambo news jMali, ni Rwanda ya wenye malengo na wajasili, tulioamua kufanya miujiza iliyo ishinda dunia, najuwa itakuwa vigumu kwako kuelewa ila hakuna utakacho badilisha, mwendo mdundo mpaka mwisho.

Naona Jumapili uliamuwa kuharibu kabisa! Eti ulikuwa ujuwi kwamba yatima anaweza kuwa na mzazi? Kivipi? Hivi hujuwi kwamba unaweza kuwa na wazazi lakini usiwe na walezi? Sumu zako zinasema tumuiteje mtu wa hivyo? Ukabila wako unakuambia eti uhutu wako ni kabila? Unajidanganya sana, huo uhutu wako ni ukoo tu kwa sababu hamna lugha zaidi ya kinyarwanda! Hebu tazama kabila la wahaya, lugha yao ni kihaya is ndio? lakini humo humo wenyewe wanasema eti wana wahutu na watutsi, kama huamini we waulize wahaya wanaoitwa WARANGIRA au ... ndio utajuwa nnachokuambia.

Wacha kupotosha watu, mi binafsi nakuomba urudi nyumbani kwani hamna utacho badilisha ukiwa nje hata shemeji yako profeseri tushamuambia yale maneno yake, asimung'unye wala asiteme ila ameze tu! Ndio maana unaona yameanza kumtokea kwa chini, fanya mchezo na wauwaji! Mkee mkikenuliana huko huko, kwetu madhala yake tunayajuwa, na hatuhitaji mwalimu.
 
You are simply comparing Apples and oranges to satisfy the evil that is in you, if not bcoz of you being allergic to Tutsi, then Kagame should be your hero! Remember how he defended you from people like Kayumba who wanted to revenge against you. Remember rwandan arms and hearts are open to whoever ask for forgiveness, we did/do it individiually and as a whole(rwandans) jMali pls! For us it is never too late.
 
Mkuu povu hilo

Ndio wacha povu linitoke na hata usinionee huruma! Huyu jMali ni ndugu yangu kabisa na ninauhakika kama sumu zikishamtoka hawezi kukosa vitu viwili au vitatu vinavyoweza kuendeleza nchi yetu kwenye muelekeo tutakao, hayo majungu hayata msaidia, sana sana yatamfanya azidi kuwa stressed! Bernard Kouchner kwenye Aljazeera alisema; wote wanaoponda uvamizi wa wafaransa, hawana option nyingine, na hata kama wanayo ni ipi? Nikuacha watu wauwawe kusudi wapate sifa kutoka HRW au ku act nakuokoa hata mmoja wa waathirika? Mpaka leo hili swali jMali hajarijibu! Na kama anajibu basi atusaidie mapema kabla hakijanuka sehemu nyingine, Africa ndiyo hivyo tena; ishakuwa uwanja wa vurugu.
Kama hana jibu basi asiongeze hata kulalamikia RPF kwa kipigo walichowapa, kwani ndiyo dawa pekee tuliyokuwa nayo kipindi kile hadi leo
Swali la pili ambalo ningemuuliza Bernard Kouchner ni; kwanini walirudi na kuendelea kushirikiana na upande wa wauwaji? Yoyote mwenye akili atakuambia kuna sababu, na tungepata jinsi ya kuifahamu nakuhakikishia hata yeye jMali kipenzi chao angewachukia.
 
Mkuu povu hilo
Hawa wananifurahisha sana...
Uzi wameanzisha wenyewe afu wanaanza kujiliza na kuomba pooh

Hii forum ilianza kutulia na habari za Rwanda...wakiona kimya wanakuwa na hamu ya ligi tena...nakumbuka hata Tz those days tulikuwa tunalazimishwa kujipanga barabarani kushangilia viongozi...enzi za mwalimu...not now....

Haya JMali kaua...wakajipange upya

Next please....
 
We jMali... Kwa taharifa yako unabahati sana hauko huku na mungu akusaidie ubakie huko huko, hizo sumu zako huku zingekucost sana.
Jumapili wenzako ni siku ya kwenda kanisani au kutembelea/kutembelewana ndugu/majamaa, chakushangaza ndugu yangu wewe; ndio siku yako kuu yakuharibu na kunadi ukabila? Kwa hiyo ntaongeza kukupata live Jumapili? Kanisani ntaacha; nisalie nyumbani, nikifanikiwa kukutowa pepo wabaya kama wanzako walio rudi makwao na hivi wanakula bata tu, nina imani mbele ya mungu itakuwa ni sara isiyo nakifani.

Rwanda unayo fikilia/pendekeza, siyo hivyo! Huku kwenu nidhamu sio jambo la hiari bali ni an obligation kwa kila mkazi/mgeni wa Rwanda. Na hilo jambo nililishuhudia mwaka 1995 nilipoenda kumpokea mgeni, ndugu yetu kabisa wakitanzania, kipindi hicho bado Kagame hajatuletea 4G network, ikabidi mgeni wetu tumuelekeze Parking ya malori yanayotokea nchi za nje, kufika pale tukakuta mzee ana kesi ya kusingiziwa kufungua mlango wa Gari yake na kumgonga mwanajeshi aliye vaa kiraia, kusudi tu atoe kidogo dogo, kutuona ilikuwa kama sherehe, akaanza kutuambia jinsi matatizo yalivyompata, kajaribu kuonga lkn mwanajeshi anataka pesa kubwa, ingawa nilikuwa na Baba yangu mzazi, ushenzi wa yule mwanajeshi ulinifanya nimpe makofi ya harakaharaka na kwa bahati mbaya/nzuri kulikuwa na patrol ya wanajeshi, kutuona tu wakaja, waka mruhusu mdingi apeleke mgeni wake nyumbani kwanza, halafu arudi kufwatilia kesi, yule mgeni hata hakukubali basi tukaenda wote kituoni, wote tukajieleza kwa bahati nzuri kumbe yule jamaa alikuwa kajipatia week end kutoka kambini bila ruhusa weee mbona alikoma!!! Ingawa nilikuwa na kesi ya kumzaba vibao mwanajeshi mwenzao; kumbe makosa yake yalikuwa makubwa kuliko yangu jamaa kazi yake ilikuwa kubananisha watu wenye platenumber za nje ya Rwanda na kuwala pesa kwa visingizio, Sisi tukaruhusiwa kwenda nyumbani, kwani niliact ku defend mgeni wa Rwanda na kumtoa mikononi mwa maharamia waliokuwa wakitaka kumdhulu, weee Mgeni wetu mbona alitaka kuzimia, eti kuanzia leo najipa ubalozi wa Rwanda popote nta'po enda, nakusema eti pamoja na uzee wake ni mara yake ya kwanza kushuhudia haki kati ya raia na mwanajeshi ikitendeka.

Rwanda ya leo siyo ile utakayo ipata kwenye inyenyeri au Jambo news jMali, ni Rwanda ya wenye malengo na wajasili, tulioamua kufanya miujiza iliyo ishinda dunia, najuwa itakuwa vigumu kwako kuelewa ila hakuna utakacho badilisha, mwendo mdundo mpaka mwisho.

Naona Jumapili uliamuwa kuharibu kabisa! Eti ulikuwa ujuwi kwamba yatima anaweza kuwa na mzazi? Kivipi? Hivi hujuwi kwamba unaweza kuwa na wazazi lakini usiwe na walezi? Sumu zako zinasema tumuiteje mtu wa hivyo? Ukabila wako unakuambia eti uhutu wako ni kabila? Unajidanganya sana, huo uhutu wako ni ukoo tu kwa sababu hamna lugha zaidi ya kinyarwanda! Hebu tazama kabila la wahaya, lugha yao ni kihaya is ndio? lakini humo humo wenyewe wanasema eti wana wahutu na watutsi, kama huamini we waulize wahaya wanaoitwa WARANGIRA au ... ndio utajuwa nnachokuambia.

Wacha kupotosha watu, mi binafsi nakuomba urudi nyumbani kwani hamna utacho badilisha ukiwa nje hata shemeji yako profeseri tushamuambia yale maneno yake, asimung'unye wala asiteme ila ameze tu! Ndio maana unaona yameanza kumtokea kwa chini, fanya mchezo na wauwaji! Mkee mkikenuliana huko huko, kwetu madhala yake tunayajuwa, na hatuhitaji mwalimu.

Matusi hayo...!!!!! tafadhali tuheshimiane!!!!! Heshima ni kitu cha bure....
 
Back
Top Bottom