Kagame tour of Eastern Province in pictures

Kagame tour of Eastern Province in pictures

Nami nakubaliana na wewe kuwa ni madhubuti kwakuwa kila kichwa anachopanga kukinyonga hakikatizi, umewahi kujiuliza ameua wanyarwanda wangapi walio nje ya nchi, umewahi kujiuliza ame escape assassination attempts ngapi na hakuna media inasubutu kutangaza!!??, huu ndio umadbubuti wake.

wewe ulijuaje? uliota? shallow minds at work
 
wewe ulijuaje? uliota? shallow minds at work
You should know, not every thing can be covered by the terrorist Kagame, soon you will hear all of those presumed to be covered when the PAKA will be sent before the court of law.
 
Usiongozwe na chuki dhidi ya Tutsi! Si kweli maneno unayosema juu ya Kagame. Kumuunga mkono kiongozi madhubuti kama Kagame si kumlamba viatu. Hiyo ni misemo na tabia zenu genocidaire. Mtaumiza vichwa sana lakini Kagame is here to stay...
atakaa hadi nguvu ya umma imtimue. jeshi la kimbari la watutsi halitafua dafu kwa umma wa wanyarwanda, burkinafaso itakua mchezo.
 
Nami nakubaliana na wewe kuwa ni madhubuti kwakuwa kila kichwa anachopanga kukinyonga hakikatizi, umewahi kujiuliza ameua wanyarwanda wangapi walio nje ya nchi, umewahi kujiuliza ame escape assassination attempts ngapi na hakuna media inasubutu kutangaza!!??, huu ndio umadbubuti wake.

Gama hizo unaleta ni story za vijiweni mambo ya Willy Gamba. Genocidaire hamna la kufanya mnaamua kukaa kutengeneza uongo wa kitoto. Nitajie hao wanyarwanda unaosema Kagame amewaua na pia utoe ushahidi kumu-implicate head of state kuhusika. Na hizo assassination attempts dhidi ya Kagame pia uzitaje hapa; ni lini na wapi zilitokea. Hivi umewahi kukutana na Kagame in person? au unazungumza kinadharia zaidi? Naomba nikukumbushe kuwa Kagame ni rais anayekubaliwa na wanyarwanda walio wengi (ukiondoa genocidaire with an axe to grind). He is but a humble servant to the people of Rwanda. Umma wa wanyarwanda uko nyuma ya rais wao baba Kagame. RDF ni jeshi la wanyarwanda wote. Kwa taarifa yako RDF comprises mostly of enlisted men who are Hutu. Mnaleta propaganda za before 1994 in a 2014 post genocide setting, hamtafanikiwa!
 
Ha ha ha ha ha ha jMali unapiga za uso.
jMali

Namshangaa JMALI hao marais walikua wakipendwa na raia wao...lakini kutokana na hila za mataifa ya nje wali washawishi wananchi kuwaondoa madarakani...sisi tunachoongelea hapa ni je pk anapendwa na wananchi wake?? jibu ndio lakini hatuzuii mataifa ya nje kuendelea kupandikiza chuki dhidi yake kwa kutumia media na wapinzani wa rwada tusi sahau na tanzania,lakini Rwanda hawataiweza kwani wako makini.
 
Kagame pamoja na mazuri anatifanya Rwanda lkn bado anaendeleza machache ambayo ni sababu za mauaji Rwanda.

1. Vitambulisho. hivi bado vinatolewa kwa kutaja ukabila. hivyo hawatambuani kwa unyarwanda bali wanatambuana kwa ututsi vs uhutu na utwa.

2. bado hajafanikisha kuwaunganisha kijamii. ameendeleza ubaguzi. Rwanda ni mwiko kwa mtutsi kuolewa au kuoa mhutu japo wahutu hawana kitu hii sana.

3. elimu hutolewa kwa upendeleo. watutsi hulipiwa ada , mavazi chakula etc na serikali wakati wahutu ngum sana kulipiwa. hivyo watutsi wanapata elimu bora wengi wkt mhutu na mtwa wanasugua benchi. hatima yake ni Tutsi kuwa tabaka tawala for decades.

4. hakuna serikali ya umoja wa kitaifa. tutsi ni kila kitu ndani Rwanda
 
wewe utakuwa umezinduka kutoka kwenye coma ukadhani bado tuko kwenye utawala wa habyarimana.
 
Back
Top Bottom