BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
wakupuliza
Mkuu, unafanya kazi Idara ya Uhamiaji - Wizara ya Mambo ya Ndani?
Usim-intimidate Jmali but watetezi wa Kagame wajibu hoja zake. Wengine
tunafanya research kuhusu source ya Hutu-tutsi conflict ili kujua
ukweli na
pia chanzo cha migogoro endelevu ktk eneo la maziwa makuu. Sasa kama
watetezi wa PK hawajibu hoja za jmali na kutoa matusi badala ya
kuzijibu, inatufanya tuamini hoja zake bila kujali yeye ni m-tz au
hapana. Majibu ya watetezi wa PK huwa ni matusi, jaziba, visasi, nk.
hali inayo-reflect Kagame's behaviour ndani yao.
Unakumbuka Mama Salma Kikwete walimwita Mhutu kisa JK kawashauri to negotiate with FDLR? Watutsi wakikushindwa
hoja zako wanakuita mhutu. Mkuu usiangukie kwenye mtego wao!
NB: Jmali endelea kutuletea nondo kuhusu Rwanda, watetezi wa Pk walete zao pia tuzipime!
cc: jmali, koba, murutongore, nk.

Last edited by a moderator: