jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
- Thread starter
- #61
Hahah kaka/Dada acha kughafilika mm Niko hum kitambo tu,hayo mambo ya a/c feki naona unatapatapa tu,swala la msingi ww uczuge et Una side na wabongo they don't give a ---- about u&ur comments! just be a proudly Rwandan inakutosha ili uwe unakosoa siasa za kwenu Kama mnyarwanda,kama wabongo wanavokosoa siasa zao za ndan hum mkuu!
sina hata shaka hata kuzaliwa umezaliwa bongo, baba yako anaweza kuwa kazaliwa bongo vile vile. Karegeya kazaliwa uganda was he Ugandan? Kagame alikuwa Uganda since he was 3 years old, was he Ugandan? kuwapo kwako kitambo hakubadilishi kitu.
Wewe kwanini ujadili uraia wa mtu badala ya comment zake?