Kagame sends out warning to dissenting RPF cadres

Kagame sends out warning to dissenting RPF cadres

jMali hahaha unachekesha sana. Wapi nimesema Hutu Manifesto was authored by FDLR? Unapenda kubadilisha maneno. Nilichomaanisha ni kuwa that evil document was instrumental in propagating the genocide against the Tutsi. Nafurahi watu humu jamvini wameshaanza kukushtukia kuwa wewe ni genocidaire FDLR sympathizer na sitashangaa ukiwa ni operative.
Chuki yako dhidi ya Kagame inasikitisha. Nikuulize my extremist hutu friend; hivi Tutsi na Kagame walikufanya nini wewe na familia yako? Why so much hatred? Umejaribu bila mafanikio kuonyesha kuwa kila Tutsi ni RPF na pro Kagame wakati unajua si kweli. Kesho utasema kina Col Kabuye ni Hutu. Acha chuki ndugu yangu.

mi nadhani niache kujadiliana na wewe, unanipotezea muda wangu tu. Unaweza kuwa na tofauti ya mawazo na mtu, but this is childish. Unageuza maneno, unakataa vitu unavyosema mwenyewe etc, mtu mwenye akili timamu anaposhindwa mjadala huwa anakubali, au anakubali kutokukubaliana sio wewe mtoto unayekataa kuwa hujasema. As a parting gift here you go. Sasa kataa you didn't not post this.

1. FDLR comprises of the same people who wrote the Hutu power manifesto. Don't be naive kid, FDLR is made up of remnants from ex-FAR and interahamwe and their offsprings.

2.Katika u-kristo mtu akitubu anasamehewa. Gen R saw the light and decided to repent and was welcome back home. Kapewa institution nyeti ya prison. Hii inaonyesha moyo wa kusamehe na kujenga taifa kwa umoja kama sera ya chama na nchi. Asingepewa mngesema Rwanda's leadership is purely Tutsi. Jamani mnataka nini?

3.Siye kila ampingaye Kagame ni FDLR. Hayo ni maneno yako. Wakina Rudasingwa, Nyamwasa, Karegeya were selfish corrupt ungrateful officials who are in cahoots with FDLR and other detractors to overthrow the democratically elected government in Kigali.

By the way, Rose Kabuye has not been arrested. Usichanganye ulevi na pombe. Aliyehojiwa ni mume wake, Capt. Kabuye. Kwanza sidhani kama Col Kabuye is even in the army or politics these days. Sijamsikia miaka kadhaa sasa.

source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ote-rwanda-ingekuwa-bure-16.html#post10568790
 
1. Ulinituhumu kuwa mimi ni MNYARWANDA nikakuambia kuwa my first thread kuhusu Rwanda humu JF nimeipost january 2014 (this year), that is 4 YEARS AFTER I JOINED JF! Nimekuonyesha hiyo thread wewe "mtanzania", ukagoma kuchangia chochote. Kitu ambacho ni strange kwa sababu the thread was strongly anti-Rwandan. yani "mnyarwanda" mimi niwe anti-rwanda, halafu wewe "mtanzania" uwe pro-Rwanda?

2. Sasa hivi ume-progress kutoka kuniita MNYARWANDA sasa umenipachika UHUTU! Hili tayari linakuelezea wewe ni mtu wa aina gani!

baada ya mshikaji wako Karegeya kujinyonga. Unafunguka kidogo kidogo. Its not a coincidence, is it?
 
jMali hahaha unachekesha sana. Wapi nimesema Hutu Manifesto was authored by FDLR? Unapenda kubadilisha maneno. Nilichomaanisha ni kuwa that evil document was instrumental in propagating the genocide against the Tutsi. Nafurahi watu humu jamvini wameshaanza kukushtukia kuwa wewe ni genocidaire FDLR sympathizer na sitashangaa ukiwa ni operative.
Chuki yako dhidi ya Kagame inasikitisha. Nikuulize my extremist hutu friend; hivi Tutsi na Kagame walikufanya nini wewe na familia yako? Why so much hatred? Umejaribu bila mafanikio kuonyesha kuwa kila Tutsi ni RPF na pro Kagame wakati unajua si kweli. Kesho utasema kina Col Kabuye ni Hutu. Acha chuki ndugu yangu.

Ha, wewe mnyamulenge, kumbe bado upo?......LOL
Mzee wa genosaida.....heheheheh!
 
Back
Top Bottom