Kwani yeye hajapiga tena kapiga yeye na binti yake na Obama na mkewe kwenye mkutano huo Marekani hakupigia hiyo picha rwanda.
nimeskia kwenye magazet ya leo,na kuna wakat aliwah kunukuliwa na BBC akiwananga viongoz wa kiafrika wanaopenda kwenda ulaya na amerika kupiga picha na viongoz wa huko badala ya kukaa na kujadil matatizo ya wananchi wao
Hapo kwenye blue text,
Jamaa yetu mara nyingi huwa ni wa kwanza kabisa..!!!
Nchi yetu kubwa na rasilimali nyingi pia,unakuta mkoa mmoja unarasilimali zaidi ya tatu.Na zote ni valuable and marketable.
Tatizo letu kubwa ni luck of determination,transparence and accountability.
Eneo kubwa lenye kila rasilimali siyo tatizo, tatizo ni kukosekana kwa haya matatu uliyotaja- tuko pamoja
... Wakuu, Nimefatilia Mkutano Wa Viongozi Wa Afrika Na Obama Huko Marekani, Kagame Kamupa Za Uso Obama Na Kumwambia Aachane Na Hotuba Za Miaka Nenda Miaka Rudi........ .. Kwakweli Huyu Raisi Ameonyesha Kwamba Yeye Siyo Regerege Kama Nanihihi.!
... Hivi Wa Kwetu Ameenda Kupga Tu Picha? Daaah. Hii Aibu
Tumuombe awe rais wa tz. Yy amewahi kusema bandariya dar pekee inatosha kupaisha uchumi wa tz.
Kwenye miti hakuna wajenzi
yaani kumwambia obama aachane na hotuba na miaka nenda rudi ndo kimekufanya umuappreciate kiasi hiki au kuna kingine.
Na wa kwetu angekuwa na akili angefanya kila mkoa ukawa na maendeleo kama Rwanda.
zanzibar unaweza kuizuru kwa baskel,na ukipiga filimbi wabunge na wawakilishi wanaskia,
issue ya hapa ni determination,tunadanganywa na udogo wa Rwanda,na tunakubali,je mapato yao yakoje?na sisi yakoje?
Na wa kwetu angekuwa na akili angefanya kila mkoa ukawa na maendeleo kama Rwanda.
Ila na Obama Kampasha,kampa vidonge vyakeKwani yeye hajapiga tena kapiga yeye na binti yake na Obama na mkewe kwenye mkutano huo Marekani hakupigia hiyo picha rwanda.
Wakwetu kabonga nn au alikua anacheka tu
Pato la wastani Rwanda(per capita income)kubwa kuliko la Tanzania. Hivo kwa ujumla warundi wanaishi maisha mazuri kuliko Mtanzania.
Tumuombe awe rais wa tz. Yy amewahi kusema bandariya dar pekee inatosha kupaisha uchumi wa tz.
Kwenye miti hakuna wajenzi
Simplemind; kwanini unazungumzia pato LA Rwanda harafu unamzungumzia maisha ya warundi?. OK, OK, OK, nimekuelewa, hata Tanzania in muungano wa Tanganyika na Zimbabwe. No problemPato la wastani Rwanda(per capita income)kubwa kuliko la Tanzania. Hivo kwa ujumla warundi wanaishi maisha mazuri kuliko Mtanzania.
Kama ni kusema mbona hata Dr. Slaa alisema? Kuna haja gani ya kuiuza nchi kwa kagame wakati kuna watz wanauwezo na uchungu na nchi?Tumuombe awe rais wa tz. Yy amewahi kusema bandariya dar pekee inatosha kupaisha uchumi wa tz.
Kwenye miti hakuna wajenzi