Kagame ni mtu hatari kwa majirani wake wote

..Ni kwasababu hajabondwa. Siku akitokea mbabe akambonda Marekani na Magharibi wataachana naye.
Serikali ya Congo DR ni dhaifu sana si kijeshi tu bali hata kwenye ushawishi wa kimataifa. Congo ikipata rais mzalendo na anayejua anachotakiwa kufanya basi ataanza kuondoa ujumbe mzima wa UN nchini Congo DR kisha operation ya kuisafisha Congo ianze na ifanywe ma wakongomani wenyewe.
 
Nadhani ni mtu smart na Rwanda imeendelea kwa kiasi kikubwa pamoja na kwamba hawana resources za kutosha
 
Historia ya kagame inaonyesha tokea tangu mtoto kua mkimbizi nchini uganda. Kwa watu waliyomjua walipokuja tanzania na museveni baada ya kua mkimbizi tena tanzania alipokua anapata mafunzo ya kijeshi wanasema alikua mtu mwenye mtazamo wa siasa za kimbari zaidi.

Katika mafunzo kikundi chao chini ya museveni kilikua tofaoti na kile cha waganda wengine wenye asili ya kutoka sehemu zingine za uganda. Wao wenye asili ya mbari ya kihima watutsi na wanyankole wakiongozwa na museveni walijitenga na kikundi chao kupewa mafunzo semu tofauti na kile cha waganda wengine.

Museveni alijulikana akiwa chuo kikuu dar es salaam kama mwenye fikra za kijamaa. Sidhani kagame aliwahi kuupenda ujamaa au hata kuuelewa. Kiufupi ninavyohisi kwamba ameenda kwenye mapigano kwa sababu za tofauti za kimbari zilizomsababisha kua mkimbizi uganda.

Kwa hivyo Kagame ni mpiganaji aliyeenda Rwanda kupigania mbari yake. Alienda akiwa na kisasi cha mauaji ya watutsi hadi wakakimbia kua wakimbizi.. mwaka 1959. Ukisikiliza akiongea utajua ni mwenye itikadi kali ya kimbari. Wao watutsi wanaamini kwamba wstitsi ni watawala. Ni wenye falme za kiasili. Wao ni watu bora na wenye akili kuliko wahutu wa mbari ya kibantu.

Tangu Kagame na kundi lake waingie madarakani wameweka utawala wa wachache rwanda na wamevamia kwa kushirikiana na wanyarwanda wa congo wa mbari ya kitutsi nchi mara kadha wakiwa na lengo la kuweka utawala wa mbari yao kinshasa. Katika azma yao kutaeala congo mbari yao wameshika maeneo tajiri kwa madini katika majimbo ya kivu na wanaiba madini ya nchi hiyo na kuuza nje kupitia rwanda.
Wahutu wasingefanya genocide huu upupu wote ulioandika usingetokea ila Kagame aendelee kufanya yake kwani mtu hatari kwa mustakabali wa Tanganyika ni Samia Suluhu Hassan ambaye tumeshuhudia akiua mercilessly maelfu ya vijana wetu, akificha maiti huku ndugu wakiachwa katika taharuki kubwa kwa kushindwa kuwazika wapendwa wao according to their beliefs.
 
Mseme Kagame kwa lolote lile lakini kwangu namkubali sana kwa kuwaletea maendeleo wananchi wake na pengine wa Afrika Mashariki yote.
Juzi juzi tu amesema ukiona mapinduzi ujue kuna tatizo kwenye hizo nchi.
Watu wanataka mabadiliko wapate haki zao za msingi.
zipi hizo mkuu ambazo kagame anatoa rwanda
 
Ili umtekwe mtu lazima machawa ,wajumbe,wenyeviti wa mtaa,madiwani, policeccm wahusike dawa Mali na familia zao zisalimiwe 🔥moto
 
Historia ya kagame inaonyesha tokea tangu mtoto kua mkimbizi nchini uganda. Kwa watu waliyomjua walipokuja tanzania na museveni baada ya kua mkimbizi tena tanzania alipokua anapata mafunzo ya kijeshi wanasema alikua mtu mwenye mtazamo wa siasa za kimbari zaidi.

Katika mafunzo kikundi chao chini ya museveni kilikua tofaoti na kile cha waganda wengine wenye asili ya kutoka sehemu zingine za uganda. Wao wenye asili ya mbari ya kihima watutsi na wanyankole wakiongozwa na museveni walijitenga na kikundi chao kupewa mafunzo semu tofauti na kile cha waganda wengine.

Museveni alijulikana akiwa chuo kikuu dar es salaam kama mwenye fikra za kijamaa. Sidhani kagame aliwahi kuupenda ujamaa au hata kuuelewa. Kiufupi ninavyohisi kwamba ameenda kwenye mapigano kwa sababu za tofauti za kimbari zilizomsababisha kua mkimbizi uganda.

Kwa hivyo Kagame ni mpiganaji aliyeenda Rwanda kupigania mbari yake. Alienda akiwa na kisasi cha mauaji ya watutsi hadi wakakimbia kua wakimbizi.. mwaka 1959. Ukisikiliza akiongea utajua ni mwenye itikadi kali ya kimbari. Wao watutsi wanaamini kwamba wstitsi ni watawala. Ni wenye falme za kiasili. Wao ni watu bora na wenye akili kuliko wahutu wa mbari ya kibantu.

Tangu Kagame na kundi lake waingie madarakani wameweka utawala wa wachache rwanda na wamevamia kwa kushirikiana na wanyarwanda wa congo wa mbari ya kitutsi nchi mara kadha wakiwa na lengo la kuweka utawala wa mbari yao kinshasa. Katika azma yao kutaeala congo mbari yao wameshika maeneo tajiri kwa madini katika majimbo ya kivu na wanaiba madini ya nchi hiyo na kuuza nje kupitia rwanda.

Nini kinawashinda hao wengine?
MTU kujiona Bora inamuumizaje MTU mwingine?
Hizo Jamii nyingine zimezuiwa kujiona na Bora na kujilinda dhidi ya Watusi?

Haya yote ni kuwapa umuhimu na ubora ambao hawana.
Ni kama Stori za wayahudi
 
Kagame ni Putin wa afrika mashariki
Hapana kagame sio putin wa afrika. Kagame ni kitu kibaya sana kwa afrika. Kagame ni muuaji wa halaiki, ni umbari ni ukaburu, kagame ni CIA, ni mossad. Ni kiburi ni dharau, ni uongo ni ulaghai, ni unafiki, ni hila, ni wizi, ni war lord. Acha tu, kagame ni kitu mbaya sana kwa afrika.
 
..Ni uzembe tu serikali ya DRC, na majirani zake, ndio unasababisha Kagame atambe na kumwaga damu za wasio na hatia.
Rushwa na ufisadi na kupenda starehe kwa wacongo wanauza nchi yao kwa wageni kama ilivyo nyumbani kwa Mwalimu
 
Nini kinawashinda hao wengine?
MTU kujiona Bora inamuumizaje MTU mwingine?
Hizo Jamii nyingine zimezuiwa kujiona na Bora na kujilinda dhidi ya Watusi?

Haya yote ni kuwapa umuhimu na ubora ambao hawana.
Ni kama Stori za wayahudi
Umesema kweli ni vita vya kisaikolojia tu wanafanya wala hawana ubora kuliko waafrika wengine maziwa makuu. Wanajiamini bure kwa maumbo yao ya urefu. Wanafikiri urefu wa mwili ndio ukubwa wa akili. Ukweli wabantu wanadharau mbari yoyote isiyoenda jando kama watutsi na wahima wengine. Hiyo pia kwa wabantu ingiweza kua kifaa cha kujihami kwa dharau za wahima.
 
Historia ya kagame inaonyesha tokea tangu mtoto kua mkimbizi nchini uganda. Kwa watu waliyomjua walipokuja tanzania na museveni baada ya kua mkimbizi tena tanzania alipokua anapata mafunzo ya kijeshi wanasema alikua mtu mwenye mtazamo wa siasa za kimbari zaidi.

Katika mafunzo kikundi chao chini ya museveni kilikua tofaoti na kile cha waganda wengine wenye asili ya kutoka sehemu zingine za uganda. Wao wenye asili ya mbari ya kihima watutsi na wanyankole wakiongozwa na museveni walijitenga na kikundi chao kupewa mafunzo semu tofauti na kile cha waganda wengine.

Museveni alijulikana akiwa chuo kikuu dar es salaam kama mwenye fikra za kijamaa. Sidhani kagame aliwahi kuupenda ujamaa au hata kuuelewa. Kiufupi ninavyohisi kwamba ameenda kwenye mapigano kwa sababu za tofauti za kimbari zilizomsababisha kua mkimbizi uganda.

Kwa hivyo Kagame ni mpiganaji aliyeenda Rwanda kupigania mbari yake. Alienda akiwa na kisasi cha mauaji ya watutsi hadi wakakimbia kua wakimbizi.. mwaka 1959. Ukisikiliza akiongea utajua ni mwenye itikadi kali ya kimbari. Wao watutsi wanaamini kwamba watutsi ni watawala. Ni wenye falme za kiasili. Wao ni watu bora na wenye akili kuliko wahutu wa mbari ya kibantu.

Tangu Kagame na kundi lake waingie madarakani wameweka utawala wa wachache rwanda na wamevamia kwa kushirikiana na wanyarwanda wa congo wa mbari ya kitutsi nchi hiyo mara kadha wakiwa na lengo la kuweka utawala wa mbari yao kinshasa. Katika azma yao kutawala congo mbari yao wameshika maeneo tajiri kwa madini katika majimbo ya kivu na wanaiba madini ya nchi hiyo na kuuza nje kupitia rwanda.
Mzanzibar anataka kutufanya watanganyika kama wahutu soon tu litatimia tusipopambana tofaut ya watusti wamesoma wazanzibar no school hapo ndio kikwazo kitakachomfelisha
 
Wakati tayari tunatawaliwa na hao Wazanzibari huku wakitubagaza, wakihujumu nchi, wakiua Watanganyika na kufukia maiti kwenye mass graves, wakimilikishana mali na vitegauchumi in collaboration na Waomani. Polisi wao wanafanya mpaka uhalifu wa kufira watoto wadogo wa kiume.
 
..Ni uzembe tu serikali ya DRC, na majirani zake, ndio unasababisha Kagame atambe na kumwaga damu za wasio na hatia.
Viongozi waupuzi wa kibantu wao Kazi yao kula bata tu ufaransa huku wanajeshi wa kongo hawana hata sare za jeshi na viatu
 
Historia ya kagame inaonyesha tokea tangu mtoto kua mkimbizi nchini uganda. Kwa watu waliyomjua walipokuja tanzania na museveni baada ya kua mkimbizi tena tanzania alipokua anapata mafunzo ya kijeshi wanasema alikua mtu mwenye mtazamo wa siasa za kimbari zaidi.

Katika mafunzo kikundi chao chini ya museveni kilikua tofaoti na kile cha waganda wengine wenye asili ya kutoka sehemu zingine za uganda. Wao wenye asili ya mbari ya kihima watutsi na wanyankole wakiongozwa na museveni walijitenga na kikundi chao kupewa mafunzo semu tofauti na kile cha waganda wengine.

Museveni alijulikana akiwa chuo kikuu dar es salaam kama mwenye fikra za kijamaa. Sidhani kagame aliwahi kuupenda ujamaa au hata kuuelewa. Kiufupi ninavyohisi kwamba ameenda kwenye mapigano kwa sababu za tofauti za kimbari zilizomsababisha kua mkimbizi uganda.

Kwa hivyo Kagame ni mpiganaji aliyeenda Rwanda kupigania mbari yake. Alienda akiwa na kisasi cha mauaji ya watutsi hadi wakakimbia kua wakimbizi.. mwaka 1959. Ukisikiliza akiongea utajua ni mwenye itikadi kali ya kimbari. Wao watutsi wanaamini kwamba watutsi ni watawala. Ni wenye falme za kiasili. Wao ni watu bora na wenye akili kuliko wahutu wa mbari ya kibantu.

Tangu Kagame na kundi lake waingie madarakani wameweka utawala wa wachache rwanda na wamevamia kwa kushirikiana na wanyarwanda wa congo wa mbari ya kitutsi nchi hiyo mara kadha wakiwa na lengo la kuweka utawala wa mbari yao kinshasa. Katika azma yao kutawala congo mbari yao wameshika maeneo tajiri kwa madini katika majimbo ya kivu na wanaiba madini ya nchi hiyo na kuuza nje kupitia rwanda.
hawezi mshinda huyu
Screenshot_20251124_154912.jpg
 
No, Kagame ni Genius..Mwamba kweli kweli ...
I like the Man .
 
Wakati tayari tunatawaliwa na hao Wazanzibari huku wakitubagaza, wakihujumu nchi, wakiua Watanganyika na kufukia maiti kwenye mass graves, wakimilikishana mali na vitegauchumi in collaboration na Waomani. Polisi wao wanafanya mpaka uhalifu wa kufira watoto wadogo wa kiume.
Ndio inaanza kwa kificho ila itafika mahal watanganyika tutakua kama palestina nchin kwao dhid wa israel itakua kama wahutu rwanda chin ya watuts itakua kama wahind wekundu nchin marekan dhid ya waamiaji wa kimexico yaan tufanye juu chin lasivyo
 
Congo DR haijapata rais mzalendo. Ilitakiwa vita ikaishie kigali kwa maslahi ya wakongomani.
Jata DRC wangependa iwe hivyo, ila HUO UWEZO hawana.

Jata TZ inaelekea huko huko.

Leo Jeahi la Kagame liko Rwmada, Liko DRC na liko Msumbiji.

Jeshi la Wanamtandao (JWTZ) liko busy kupiga RAIA kusaidia CCM.

Soon, tu Kagame atashirikiana na Malawi, DRC, Kenya, na itakuwa kwisha kazi.
 
Hapana kagame sio putin wa afrika. Kagame ni kitu kibaya sana kwa afrika. Kagame ni muuaji wa halaiki, ni umbari ni ukaburu, kagame ni CIA, ni mossad. Ni kiburi ni dharau, ni uongo ni ulaghai, ni unafiki, ni hila, ni wizi, ni war lord. Acha tu, kagame ni kitu mbaya sana kwa afrika.

uhh is he muslim? ...
 
Ndio inaanza kwa kificho ila itafika mahal watanganyika tutakua kama palestina nchin kwao dhid wa israel itakua kama wahutu rwanda chin ya watuts itakua kama wahind wekundu nchin marekan dhid ya waamiaji wa kimexico yaan tufanye juu chin lasivyo
Tuwe mara ngapi, kama wanateka na kuwafira Watanganyika kadri wanavyojisikia na huku chawa wa Kitanganyika wakifurahia na kukata viuno huku wakikenua meno.
 
Historia ya kagame inaonyesha tokea tangu mtoto kua mkimbizi nchini uganda. Kwa watu waliyomjua walipokuja tanzania na museveni baada ya kua mkimbizi tena tanzania alipokua anapata mafunzo ya kijeshi wanasema alikua mtu mwenye mtazamo wa siasa za kimbari zaidi.

Katika mafunzo kikundi chao chini ya museveni kilikua tofaoti na kile cha waganda wengine wenye asili ya kutoka sehemu zingine za uganda. Wao wenye asili ya mbari ya kihima watutsi na wanyankole wakiongozwa na museveni walijitenga na kikundi chao kupewa mafunzo semu tofauti na kile cha waganda wengine.

Museveni alijulikana akiwa chuo kikuu dar es salaam kama mwenye fikra za kijamaa. Sidhani kagame aliwahi kuupenda ujamaa au hata kuuelewa. Kiufupi ninavyohisi kwamba ameenda kwenye mapigano kwa sababu za tofauti za kimbari zilizomsababisha kua mkimbizi uganda.

Kwa hivyo Kagame ni mpiganaji aliyeenda Rwanda kupigania mbari yake. Alienda akiwa na kisasi cha mauaji ya watutsi hadi wakakimbia kua wakimbizi.. mwaka 1959. Ukisikiliza akiongea utajua ni mwenye itikadi kali ya kimbari. Wao watutsi wanaamini kwamba watutsi ni watawala. Ni wenye falme za kiasili. Wao ni watu bora na wenye akili kuliko wahutu wa mbari ya kibantu.

Tangu Kagame na kundi lake waingie madarakani wameweka utawala wa wachache rwanda na wamevamia kwa kushirikiana na wanyarwanda wa congo wa mbari ya kitutsi nchi hiyo mara kadha wakiwa na lengo la kuweka utawala wa mbari yao kinshasa. Katika azma yao kutawala congo mbari yao wameshika maeneo tajiri kwa madini katika majimbo ya kivu na wanaiba madini ya nchi hiyo na kuuza nje kupitia rwanda.
Simpendi kabisa Kagame.

Lakini upumbavu wa akili, uroho wa madaraka, rushwa, wizi wa mali, jeshi dhaifu linaloonea raia, na uzembe wa nchi zenye maliasili nyingi za kutupwa ndiyo fursa aliyoitumia Kagame.

Mzungu/ Marekani/ Mrusi/ Mchina/ akina Rostam , wakichungulia anaona mzigo wa madini umetulia hauna mwenyewe. Kwa nini asimtumie Kagame kwa kuwapa AK-47 wavuta bangi wanakiwasha na kujibebea madini ya bure.!!!!!!
 
Back
Top Bottom