albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,070
- 3,517
Wiki ilopita nipata nafasi ya kuongea na askari jeshi wa Kongo pale hapatakaa patulie hata akija rais gani... Jeshi lina mamluki kibao, serikali ndo usiseme.. usaliti ni mkubwa mno pale..Congo DR haijapata rais mzalendo. Ilitakiwa vita ikaishie kigali kwa maslahi ya wakongomani.
Ndo ndomana majeshi ya msaada yalishindwa