Tema mate chini hawa hawa rwanda wanaoitamani Tanzania na wanaingia kimya kimya wapo mitaani tele wanaishi kwa amani na kufurahia zaidi kuliko huko walipokuwa.
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu