Funguka zaidi kwa faida ya sisi makabwela tusiomjua Kagame. U mean ule mgogoro ni yeye anafanya featuring au anasingiziwa na mataifa ya magharibi? Ikiwa ni yeye ana maslahi gani na mgogoro huu? AsanteKweli wewe ni Duduwasha ndo maana unajaribu kuongea ingawa huongei, unamjua Paul Kagame ama unamskia tu? Hana anachokijua zaidi ya siasa kandamizi na uuaji tu
'Heading' ya uzi ilinistua kweli, ila sasa nimeelewa. Kagame has a point on DRC issue.
sio rahisi kiivyo kama unavyofikiriNo Kagame has no any point on DRC, he has been financing & supporting Rwanda soldiers M23 and b4 that Laura Nkunda, but THANKS GOD NOW WILL FACE JK WHO IS LEADING SADC SOLDIERS THERE....
JK sent JWTZ kama viongozi wa vita kule Congo, M23
wakakimbia haraka, JWTZ wakiongoza majeshi ya SADC watawaua na kuwateketeza, Kagame knows well TZ, who we are, what we are for, akileta upuuzi tena hata yy tunaua...!!! na EAC tunamtoa, Manina zake...!!!
Those protesting at William Penn call Rwanda's leader General Paul Kagame, rather than president, to emphasize their conviction that he rules by force, not by law or popular election.
Close
Paul Kagame
November 29
Tell the person next to you they are special and that you love them! If there's nobody next to you go out and find someone!
Kweli wewe ni Duduwasha ndo maana unajaribu kuongea ingawa huongei, unamjua Paul Kagame ama unamskia tu? Hana anachokijua zaidi ya siasa kandamizi na uuaji tu
Sasa baada ya Mbabe Gadaffi sasa kuna mmbabe mpya wa Africa naye ni Raisi wa Rwanda mwenye akili nyingi Bwana Paul Kagame.... akitoa hotuba yake ya kulaani nchi za Magharibi na Marekani kuwa Rwanda inawasaidia waasi wa Congo ni suala la kizushi kupindukia..
kwani ni sawa na mtu aue mtu mwingine barabarani kisha auchukue mwili wa marehmu na auweke mrangoni kwako then aende polisi kusema kisha polisi wakupeleke mahakamani kwa kosa la kuua....
so nchi za Ulaya na marekani ndizo zimeiua DRC kwani zimekuwa zikifadhiri silaha na wanajeshi wengi kila mwaka ndani ya hiyo nchi then wameona wameshindwa lengo lao hivyo wameamua kuisingizia Rwanda...
Sasa kagame kawaambia kuwa kama ndio hivyo yeye anaweza kurejesha amani DRC wamlipe na hiyo kazi haitomshinda kama wao walivyoshindwa... na yeye kwa upande wake kasema anayo matatizo yake so huo muda wa kuleta amani DRC angeweza kutatua matatizo yake ya nchini kwake....
Ukweli na uwazi ameuonesha kuwa kama nchi za magharibi zina pesa nyingi wafute hiyo mipango yao ya kuweka majeshi na silaha wampe pesa yeye apige kazi... na jinsi nimsikiavyo huyu jamaa mbona DRC itatulia...
Akimaliza huko tumpe kama alivyoomba aishike uongozi kwa Tanzania kwa muda wa miezi miwili basi ataigeuza kama Dubai(Alishawahi kuomba Bandari aiongoze kwa Muda tu muone kazi yake)
Ndio Kagame wape wape hao Vidonge Vyao....
sio rahisi kiivyo kama unavyofikiri
chuki za wazungu kwa KAGAME nenda kagame nenda piga kazi!Anaweza kuleta amani drc maana niyeye anayesababisha machafuko.huyu si mtu wa kumuachia maana akimaliza drc anaweza kuitaka TZ who knows
Mkuu kunatatizo gani kwa maendeleo ayaletayo!Henge: Chuki gani mkuu?,kwa taarifa yako kagame ni gaidi na mbaguzi wa hali ya juu,yeye ndiye aliyemua Juvenali Habyarimana!!