Kagame maji ya shingo sasa

Kagame maji ya shingo sasa

nyabhera

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
663
Reaction score
735
Mapango wa UN kupeleka Drone Tatu kwa ajili ya kufuatilia nyendo zote katika mpaka wa Rwanda na Congo umeipa wakati Mugumu serikali ya Rwanda kiasi cha Ujumbe wao UN kupinga moja kwa moja suala hili.

Rwanda wanapinga kwa hoja kuwa Drone hizo zitakua zinachunguza hadi ndani ya Rwanda.

Wakati huo huo kamati ya usalama ya SADC troika inakutana na Kabila kupanga namna ya kuwaangamiza M23 tena Zuma Mwenyewe akihudhuria.

Pia miongoni mwa mapendekezo ya UN ni kuweka Vikosi vipya vya kijeshi mpakani mwa Rwanda na Congo.
My take.

SADC watamjaza kichwa kabila agome kujadiliana na M23 ili wapate sababu ya kuwafyeka.
 
Mapango wa UN kupeleka
Drone Tatu kwa ajiri ya kufuatilia nyendo zote katika mpaka wa rwanda na
Congo umeipa wakati Mugumu serikali ya Rwanda.
kiasi cha Ujumbe wao UN kupinga moja kwa moja suala hili.

Rwanda wanapinga kwa hoja kuwa Drone hizo zitakua zinachunguza hadi
ndani ya Rwanda.

Wakati huo huo. kamati ya usalama ya SADC troika inakutana na Kabila
kupnga namna ya kuwaangamiza M23 tena Zuma Mwenyewe akihudhuria.

Pia miongoni mwa mapendekezo ya Un ni kuweka Vikosi vipya vya kijeshi
mpakani mwa Rwanda na Congo.
My take.
SADC watamujaza kichwa kabila agome kujadiliana na M23 ili wapate sababu
ya kuwafyeka.

Kagame yupo sahihi, haya mambo ya kuruhusu ndege za upelelezi ziruke kwenye anga lako ni mambo ya kipuuz....
 
Kagame yupo sahihi, haya mambo ya kuruhusu ndege za upelelezi ziruke kwenye anga lako ni mambo ya kipuuz....
kwa hiyo unaenjoy anavyofadhili uhalifu kule DRC, ndivyo unavyomaanisha sio?
acha tu zizunguke ziwatie adabu wahalifu
 
kwa
hiyo unaenjoy anavyofadhili uhalifu kule DRC, ndivyo unavyomaanisha
sio?
acha tu zizunguke ziwatie adabu wahalifu

Mkuu mpaka sasa hakuna proof yoyote juu ya Rwanda kusapoti hao jamaa. zimebaka propaganda tu.
Je, unaweza kufikiria madhara ya zile silaha zilizokuwa zinapitishwa
ziwa victoria eneo la mwanza?? okay, hizo silaha zimeenda wapi? kwa nini
tz hainyooshewi kidole? sometimes udhaifu wa serikali yetu tena kwenye mambo ya msingi yanasababisha madhara upande mwingine...
 
Wanyarwanda wapende au wasipende, lazima matakwa ya wakubwa wa Dunia yatekelezwe. Walikuwepo jeuri kuliko Kagame, lakini walinywea na wengine hatunao tena.
 
Kagame ni mhalifu wa kivita. kagame ni muuaji.Ushaidi unaoutaka wewe sijui ni wa namna gani. Maana kagame anadhani yeye tu ndiye mwenye akili kuliko kila mtu hapa Africa. Na amekuwa jeuri juu ya watu kama nyie mnaotaka kagame apewe Ushahidi.
Kagame anatakiwa akamatwe, afungwe na ushahidi utapelekwa mahakamani. Ana damu za wengi mikononi mwake. Anafadhili mipango mingi sana ya kujenga himaya ya watusi katika maeneo ya maziwa makuu achilia mbali miradi yake ya kuchimba madini nchini Kongo akitumia majeshi yake ya msituni. He kill to survive and he survive on human blood! He is a monster.

NGUVUMOJA,

Kama madai ya tetere yana ukweli kuwa Kagame anataka kujenga himaya ya watusi basi nae anataka kuwa kama hao wakubwa wa dunia. Kuna ubaya hapo? Au ya wakubwa tu ndio yawe?

tetere,

Kuwa Kagame ni muuaji, mhalifu madai haya yana ukweli. Lakini kwa sasa ametubu dhambi hizo. Anaelekeza nguvu zake katika kujenga nchi ya Rwanda na kuwainua wanyarwanda. Anatetea maslahi ya nchi yake. Kutofautiana misimamo na nchi zinazoitwa wakubwa wa dunia ndio kisingizio cha kutaka "kumpiga ngwala" na waihujumu Rwanda.

Kasi ya maendeleo ya Rwanda, kanchi kadogo kinawakosesha usingizi baadhi ya watu. Kuna watu wamezoea 10%, pia wapo wanaotaka kuficha udhaifu wa kuongoza nchi zao(uongozi katika nchi zao).

Ukifatilia sana habari za Congo(Zaire) utaona M7 na Kagame walisaidia kumweka Kabila, the father madarakani. Pia kuna ushahidi wa kuwa US na Kabila, mtoto kuhusika katika kifo cha Kabila, the father.

Kwa ufupi, wakubwa wanazichezea nchi zetu vile wanavyopenda na sisi wengine tunawafagilia. Inapasa tubadilike.
 
Kagame
ni mhalifu wa kivita.
kagame ni muuaji.Ushaidi unaoutaka wewe sijui ni wa namna gani. Maana
kagame anadhani yeye tu ndiye mwenye akili kuliko kila mtu hapa Africa.
Na amekuwa jeuri juu ya watu kama nyie mnaotaka kagame apewe Ushahidi.
Kagame anatakiwa akamatwe, afungwe na ushahidi utapelekwa mahakamani.
Ana damu za wengi mikononi mwake. Anafadhili mipango mingi sana ya
kujenga himaya ya watusi katika maeneo ya maziwa makuu achilia mbali
miradi yake ya kuchimba madini nchini Kongo akitumia majeshi yake ya
msituni. He kill to survive and he survive on human blood! He is a
monster.

Hujui usemalo!! mbona Bush na Blair hawajafungwa? au wao si waarifu? je,
unajua katika wakati huu wa imperialism hayo mataifa makubwa
yanafanyaje ili ya survive. Okay, back to the point, Kagame yupo sahihi
kukataza ndege za ujajusi kuzunguka kwenye anga lake.
May be tz kwa sababu tuna kiongozi dhaifu tungeweza kukubali, lakini katika kipindi hiki ambacho tuna on-going conflict na Malawi, inatupasa hata sisi tukatae...
 
Kuwa Kagame ni muuaji, mhalifu madai haya yana ukweli. Lakini kwa sasa ametubu dhambi hizo. Anaelekeza nguvu zake katika kujenga nchi ya Rwanda na kuwainua wanyarwanda. Anatetea maslahi ya nchi yake. Kutofautiana misimamo na nchi zinazoitwa wakubwa wa dunia ndio kisingizio cha kutaka "kumpiga ngwala" na waihujumu Rwanda.
Nakataa kama ameshatubu! kwani ndiyo kwanza anahangaika na kupanua mipaka ya influence yake! Hilo la maendeleo nlikubali; lakini kwa gharama yaa wizi wa dhahabu na mbao toka kwa jirani yake DRC, hiyo ni sawa?
 
Mapango wa UN kupeleka Drone Tatu kwa ajiri ya kufuatilia nyendo zote katika mpaka wa rwanda na Congo umeipa wakati Mugumu serikali ya Rwanda.
kiasi cha Ujumbe wao UN kupinga moja kwa moja suala hili.

Rwanda wanapinga kwa hoja kuwa Drone hizo zitakua zinachunguza hadi ndani ya Rwanda.

Wakati huo huo. kamati ya usalama ya SADC troika inakutana na Kabila kupnga namna ya kuwaangamiza M23 tena Zuma Mwenyewe akihudhuria.

Pia miongoni mwa mapendekezo ya Un ni kuweka Vikosi vipya vya kijeshi mpakani mwa Rwanda na Congo.
My take.
SADC watamujaza kichwa kabila agome kujadiliana na M23 ili wapate sababu ya kuwafyeka.
WaLIWEKWA MADARAKANI na taifa kubwa na sasa hivi wanajidai kukaidi maagizo ya taifa kubwa. Kule SADC kuna angola na zimbabwe, mataifa haya hayana mzaha katika kukomesha hujuma za rwanda kwa Congo. M23 ni watutsi watupu mpaka wananyoa nywele ili wasijulikane vizuri.
 
Bora Kagame aibe hizo mali za congo kuliko wahuni wa bara lingine waje waibe then wakajenge kwao. Kagame akiiba kuna siku bacongoman watapata kazi kwa banyarwanda.
 
Kagame yupo sahihi, haya mambo ya kuruhusu ndege za upelelezi ziruke kwenye anga lako ni mambo ya kipuuz....

Note Drone hizo hitaruka katika anga ya DRC si Rwanda. ila wakijaribu kuingiza wajeshi wao kama walivyofanya november 2012 wananaswa.

Pili haiitaji kujua kusoma na kuandika ndo ujue Rwanda/Kagame inafadhili waasi Congo.
haya tafakari haya.
1. Kwanini Nkunda baada ya kufurushwa Congo sasa anaishi Rwanda kama peponi.
2. Wajua waziri wa ulizi wa sasa wa Rwanda ndo alikua Mkuu wa majeshi Congo.
3. wajua waasi wakuu wafuatao wamewahi kuwa makamanda wa jeshi la Rwanda.Raulent Nkunda, Bosco Ntaganda, Sultani Makenga, Kazarama
4 je wajua familia za hao wa Waasi ziko gisenyi Rwanda siyo Kongo.

ukweli kagame ametumikia US na sasa wamemshiba sasa wanabadilisha matumizi
 
Baada ya kulaumiwa sana kwa Rwanda kuwa inawasaidia waasi wa M23,sasa Umoja wa Mataifa kwa kipitia majeshi yake inakusudia kutumia ndege zisizo na rubani- drones luchunguza nyendo za M23 nchini DRC.

Rwanda imekuwa ikikataa kuwasaidia waasi hao kila inapolaumiwa.
Drones hizo zikitumika kukusanya data za M23,zaweza vilevile kutumika kuangamiza sehemu maalum za vikosi vyake.
Majeshi ya UN yamelaumiwa vile vile kuwa wamekuwa watazamaji tu wakati Rwanda" vitu vyake" huko DRC.

Haijawashangaza wengi kuwa nchi pekee iliyopinga mpango huo wa kuweka "drones" ni Rwanda- mtuhumiwa mkuu wa kuwasaidia M23.
Source: AFP
 
Siwezi shangilia ndege hizi maana zinaweza kuwa na mpango zaidi ya huo
 
Mkuu mpaka sasa hakuna proof yoyote juu ya Rwanda kusapoti hao jamaa. zimebaka propaganda tu.
Je, unaweza kufikiria madhara ya zile silaha zilizokuwa zinapitishwa
ziwa victoria eneo la mwanza?? okay, hizo silaha zimeenda wapi? kwa nini
tz hainyooshewi kidole? sometimes udhaifu wa serikali yetu tena kwenye mambo ya msingi yanasababisha madhara upande mwingine...
MD25, kwa hiyo wanaosema kuwa Kagame na Museveni wanawasaidia M23 ni waongo? wewe una ushahidi gani wa kukosoa taarifa iliyotolewa na ile group ya UN wakiwa na evidence kuwa nchi hizo mbili zinawasaidia Watutsi wenzao wa M23?!!!
 
Usiongee kishabiki. UN imetangaza kupeleka drones DRC na sio Rwanda. Hiyo ya Rwanda kusaidia M23 ni speculation zako,

Vipi ile platoon moja aliyoahidi Membe kuipeleka DRC kupambana na M23 mmeshaipeleka, au ilishakuwepo kule siku nyingi.
 
Back
Top Bottom