Kagame: Kwanini nilimkasirikia Kikwete

Tz Igekua Viongozi Kama Huyu Comrade Kagame Igekua Mbali Sana Kimaendeleo
 
Mkuu, Mi Nadhani Mkuu Wetu Wa Kaya Ndo Chiz Kabisaa, Kagame Kafanya Mazuri Mengi Sio Kama Huyu Wa Kwetu, 2tamkumbuka Saana Kwa Kuwa Bingwa Wa Kuombaomba

Uchizi ni kwenda kukopa mpaka wabunge wako kupata wasiwasi halafu kwenda kufanya miradi ambayo strategy zake zinategemea soko la jirani largely huku ukiwa na kiburi juu. JK anaenda leta wawekezaji na wanakopa kwa strategy bado wana sera za kulipa madeni kutumia own macroeconomics policies taifa lina uwezo wa kuhimili madeni yake na kuna resources to meet the obligations in the future.

Hivi ukiangalia madeni ya Rwanda unless labda wawe mbele na technology advances ya kusambaza na kuuza hilo deni linalipwa vip? you can see why they depend on Tanzania strategically to them kiuchumi. Huyu kweli utamfananisha na JK mtu ambae anakopa wakati hana uwezo wa kumudu deni comfortably kama sisi.

Just imagine kungekuwa na strong opposition parties za kukosoa kama Tanzania ambao ni wachonganishi na waongo pia kwa wananchi na kumpinga tungejua mangapi ya uozo unaoendelea? Ndio ungejua kuendesha nchi inayo heshimu demokrasia with clashing priorities sio rahisi kama unavyodhani Kagame bado sana kwa JK.

PS hivi unajua kama nakuona pimbi tu conc.......
 
Si ajabu wewe ni mmoja kati ya watu wanaohusudu mafanikio ya kiuchumi ya China,Je uliwahi kufuatilia rekodi za kidemokrasia na haki za binadamu huko China? Wajua kwanini Wachina walilazimika kufanya hivyo?Hivyo ndivyo anavyofanya Kagame pia.Democracy is harmful sometime
 
Umeongea kweli! Tena sio Membe tu sioni mtu yeyote kati ya wenye ndoto za urais wa TZ anayeweza kumzidi kikwete uvumilivu wa nyodo kutoka kwa kagame. Lowassa ndio balaa kabisa kagame angekuwa tayari kakimbia nchi.
 
nawaita FDLR kwasababu hawawakilishi wahutu,tena wahutu waliondani ya rwanda ni 98% sasa hao 2% hawawezi wakilisha 98% walio ridhika na uongozi wa pk.
kuhusu kenya sasa kwa nini mliwauzia?
Mkuu wewe ni kinara wa ubaguzi na katika hii thread umekamatika!
You are a primitive tribalist.
Hizo percentage ni za kwako za kutunga, and una mtetea PK anaye cling to power ili wananchi wasimuadhibu!
PK hana tofauti na Pol Pot , muuaji wa Cambodia.

Kuhusu suala la Kenya umedhihirisha hujui kitu, sisi waarabu wa Pemba, Mkenya hafi njaa Mtsnzania akiwepo!
Ati Coalition Of The Willing, you cows!
 
Huyo ni muuaji tu. Dawa yake na yeye ashughulikiwe yaishe.
 
I don't even remember telling anyone that I meant to prove my English level... especially here at JF! Did I Madam? Please, remind me honey. Tell me something, is the recruitment for those English Experts through JF done? Anyway, am just curious... don't think am interested. Take good care of yourself mammy! Byeee....
 
Umeongea kweli! Tena sio Membe tu sioni mtu yeyote kati ya wenye ndoto za urais wa TZ anayeweza kumzidi kikwete uvumilivu wa nyodo kutoka kwa kagame. Lowassa ndio balaa kabisa kagame angekuwa tayari kakimbia nchi.
Kweli enh... unajua nini, uliposema none of them, ikabidi nianze ku-review list... you're 100% right... unajua nilimwangalia Membe tu kv namfahamu anavyopenda kushabikia vita... utamsikia "Tumeenda Comoro, Bacar tukamtwanga... tumeenda DRC, M23 tukawapa kipigo....!" hahahaaa,
 
You missed my point buddy... hoja yangu ni kwamba, kila Dikteta kisingizio chake ndicho hicho cha Kagame kwamba Western Democracy id different from our democracy... yaani haijalishi kwamba the guy is doing well for the well being of his/her country. But all in all, let's be honest here... hivi what's so special in Rwanda cha kutufanya tuamini his dictatorship has brought ABC like China unless if we believe Rwanda could never be peaceful in the presence of true democracy!!!
 
Umeongea kweli! Tena sio Membe tu sioni mtu yeyote kati ya wenye ndoto za urais wa TZ anayeweza kumzidi kikwete uvumilivu wa nyodo kutoka kwa kagame. Lowassa ndio balaa kabisa kagame angekuwa tayari kakimbia nchi.
Uko right mkuu!
Tatizo kubwa la PK ni kujikweza akifikiri ana akili sana around these parts of Africa.
Kapewa ushauri, kajibu atamfix JK,
Kinyume chake yeye kwa fixed Goma, huku mwanadiplomasia JK akicheka tu.
Sasa hivi nasikia anasema watanzania ndugu zangu.

Some people learn the hard way!
 

Nyiny wengine munabeba majina makubwa katika ID zenu hapa Jf lakin akili zenu ni za kushikiza.
Mbona katika kuchambua kwako umeacha neno "Ukabila" ambalo Kagame amelitaja pia ambalo unajua direct Tanzania hatumo humo ?
Huu ni ujinga wa mwisho halafu mtu kama wewe unajitia una uzalendo na nchi kisa unachagua cdm!
 
Yaani anafikiria kubadilisha vifungu vya katiba ili agombee tena urais??? Amevurugwa huyu

Wewe mburula wa buku7 mbona na nyinyi kwenye sheria ya mabadiliko ya katiba mmeficha kipengele cha kumuwezesha Vasco Dagama kuendelea baada ya 2015 kwa kigezo cha kuwa kutakuwa na transition period baada ya katiba mpya kupitishwa!!!
 
Anatamanisha kweli, sijui tuanzie wapi kumuondoa madarakani! Yaani PK alitaka asifiwe kwa kuendeleza mauji na uporaji wa maliasili za DRC! No, siyo wote watakuwa wajinga kama yeye lazima tumchane live na akivimba tumufanyie kama DADA Idd Amini - Shenzi zake!
 

Majibu ya Kagame yako very straight. Vyovyote vile iwavyo, Kagame sio mnafiki na kinachotuponza wabongo ni UNAFIKI wa kutaka kusifiwa tu
 
Acha Upuuzi Wewe, Kwan M23 Ni Wa Rwanda?? Achana Na Maripoti Ya Mabeberu.

ha ha ha na tutawafuata huko huko kwa baba yenu kagame mlipokimbilia. pumb.av zenu na fdlr tunawaleta rwanda wachukue nchi
 

china ina mfumo wa chama kimoja, rwanda ina vyama vingi unafananishaje rwanda na china.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…