Kagame: Kwanini nilimkasirikia Kikwete

Mkuu katika mahojiano yote ni hiki kipande tu ambacho hakina mashiko.
Kwanza JK hakuingilia mambo ya Rwanda kwa aina yoyote , kilichotolewa ni USHAURI WA UOATANISHO kati ya Kagame na FDLR.

Swali limeulizwa kimagumashi naye Kagame kakwepa kulijibu.
Pili, mbona PK hakuulizwa after effects za kipigo sha M23 na kwamba sasa anaonekana ame sober-up juu ya uwezo wake kiujumla katika kanda ya maziwa makuu.
 
Amewahitaji warudi washitakiwe nyir na mabwana Zenu wakubwa mmewakatalia. Alafu bado wanaongea ongea upuuzi . Lazma wauliwe . Yenu APA bongo yamewashinda kutwa kumpangia mambo yake kagame
Na wewe bwana ako ni nani? Au ndo huyo Kagame sio? BTW, tangu lini Kagame ameanza kushitaki wabaya wake? BTW, nani alikudanganya hapa Bongo yametushinda?! Yangetushinda tungepata nafasi ya kwenda kuvichapa vijibwa vya PK, M23?
 
Yaani wanauwana wenyewe kwa sababu za kipumbavu kabisa halafu watarajie mtu kutoka nje akakomeshe?? Hivi hujisikii angalau aibu kufananisha suala la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ZNZ na Rwanda? Serikali haitaki SUK wakati serikali inayoongoza hadi sasa ni hiyo ya umoja wa kitaifa?
 
Kama Africa ikiungana na Kumpa Kagame ukuu wa nchi.
Kwa Rasilimali tulizo nazo,Africa ingekuwa ni Super Power Continent Mara 50 ya America...
Paul Kagama for President of the United States of Africa.
 
kuna jinga moja hapo juu limemtaja dr.slaa!funny,kulikoroga alikoroge mwingine zigo la m.avi mumwangushie slaa!what's beef?beef is when jk can't sleep at night,wakes up in the morning with no appetite...pk doesn't sound ready to squash this beef.JK is soaking wet with fear sweat,this skinny general will drop down ikulu chimney to get his revenge...guards beware.
 
Kama Africa ikiungana na Kumpa Kagame ukuu wa nchi.
Kwa Rasilimali tulizo nazo,Africa ingekuwa ni Super Power Continent Mara 50 ya America...
Paul Kagama for President of the United States of Africa.
Kashindwa kuungana na wapinzani wake, wanyarwanda wenzake , itakuwa nchi nyingine?
 
Rwanda ni mara 1000 bora chini ya uongozi wa Kagame - mfano angalia Burundi. Nchi kama Rwanda inataka mtu kama Kagame au itarudi nyuma miongo mingi
 
Hongereni Wanyarwanda Kwa Kuwa Na Kiongoz Shupavu Kagame, Sis Watz Tunawatamani Sana
 
kagame kweli kanaropoka na kukurupuka tu anatamani kuwa rais wa rwanda hadi kufa.
 
Na wewe bwana ako ni nani? Au ndo huyo Kagame sio? BTW, tangu lini Kagame ameanza kushitaki wabaya wake? BTW, nani alikudanganya hapa Bongo yametushinda?! Yangetushinda tungepata nafasi ya kwenda kuvichapa vijibwa vya PK, M23?

Mbona Tembo Wanauawa, Madini Yanaporwa, Arusha Zenj Mabomu.. Yaan Kila Kukija Majanga Tu
 
Sasa kinachopelekea kuingilia mambo yao ninini. Fanyeni yenu yanayowahusu jengeni nchi yenu ya madivision five
 
kagame kweli kanaropoka na kukurupuka tu anatamani kuwa rais wa rwanda hadi kufa.

Kagame Hakurupuki Mkuu, Mkurupukaji Ni Prezda Wetu. Yaani Natamani 2we Na Rais Kama Pk, Ni Kiongozi Bora
 
Sasa kinachopelekea kuingilia mambo yao ninini. Fanyeni yenu yanayowahusu jengeni nchi yenu ya madivision five
Umesahau kwamba mkishaanza kuuana huko mnakimbilia Tanzania?! Umesahau jinsi mlivyoteketeza misitu mkoani Kagera?? N
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…