... Mkuu, Wanyarwanda Wenyewe Ndio Wameamua Kumuongezea Muhula, Na Siyo Matakwa Yake. Alafu Kagame Anapendwa Sana Kwa Kazi Zake Siyo Kama Nkurunziza Mzembe Yule
ukisikia unafki ndio huu sasa,sioni maandamano wala kusikia makemeo kwa kagame. wanaharakati wamepotelea wapi?au wako kwa nkurunzinza tu?siasa za Africa za kishenz* shenz*, if Nkurunzinza third term and altering of constitution was unjust, then whatever Kagame is doing here should also be the same. EAC Kimyaa.hovyo kabisa.
Acha siasa za kitoto mkuu, kwa hiyo kalazimishwa sio matakwa yake?
Kipimo gani kilionesha anapendwa sana?
Kwa mchapa kazi kama Kagame acha atawale hata milele,ili mradi wananchi wana neemeeka.Uliza wa libya wanajuta kumuua Gadaffi kwa demokrasia waliyodanganywa na wamarekani
Mkuu nilikua pale wakati wa kura sina hakika saana na kura zile kwamba ni maamuzi ya wanyarwanda,,wengine wamepiga kura bila kujuaTerm tatu za Rwanda za miaka saba saba itakuwa miaka 21, ambao ni sawa na term 7 za Australia za miaka mitatu mitatu, zaidi ya term tano za Marekani za miaka minne minne, na zaidi ya term nne za nyingi za commonewealth za miaka mitano mitano. Hata hivyo hayo ni maamuzi yao wenyewe wanyarwanda; waache wajiamulie mambo yao wenyewe.