Mabadiriko = Mabadiliko..... Wadau, Idadi Ya Wanyarwanda Wanaotaka Mabadiriko Ya Katiba Yao Kifungu Cha 101 ili kumruhusu kamanda mpambanaji PAUL RUTAGAMBWA KAGAME atetee nafasi yake katika uchaguzi ujao imezidi kuongezeka mara dufu. Hii Inaonesha Na Huo Ndiyo Ukweli Kwamba KAGAME Ni Lulu Ndani Ya Rwanda, Imefikia Hatu Wanyarwanda Wanasema Kagame Ni Zawadi Kutoka Kwa MUNGU. Vyanzo Ni RF INTERNATIONAL Na Izuba Rirashe..
.... Wadau, Idadi Ya Wanyarwanda Wanaotaka Mabadiriko Ya Katiba Yao Kifungu Cha 101 ili kumruhusu kamanda mpambanaji PAUL RUTAGAMBWA KAGAME atetee nafasi yake katika uchaguzi ujao imezidi kuongezeka mara dufu. Hii Inaonesha Na Huo Ndiyo Ukweli Kwamba KAGAME Ni Lulu Ndani Ya Rwanda, Imefikia Hatu Wanyarwanda Wanasema Kagame Ni Zawadi Kutoka Kwa MUNGU. Vyanzo Ni RF INTERNATIONAL Na Izuba Rirashe..
Anachofanya Kagame hamna tofauti na alichokifanya Mbowe, hii tabia ya kujiongezea muda ni tatizo kubwa Africa.
Kumbe Mbowe nae ni rais wa nchi?
Ni mchapakazi sana na ameinua uchumi wa Rwanda,Kagame mesimwelewagi kabisaaaa
Kwa mchapa kazi kama Kagame acha atawale hata milele,ili mradi wananchi wana neemeeka.Uliza wa libya wanajuta kumuua Gadaffi kwa demokrasia waliyodanganywa na wamarekani
ukisikia unafki ndio huu sasa,sioni maandamano wala kusikia makemeo kwa kagame. wanaharakati wamepotelea wapi?au wako kwa nkurunzinza tu?siasa za Africa za kishenz* shenz*, if Nkurunzinza third term and altering of constitution was unjust, then whatever Kagame is doing here should also be the same. EAC Kimyaa.hovyo kabisa.
Mabadiriko = Mabadiliko.
Wewe AMAHORO uwa nakushangaa upo Chadema wakati wewe ni Mnyarwanda daah!!!
Hawa ndiyo wasemaji wa Chadema na UKAWA.
Mawazo ya KIFASHISITI na ya watu walioshindwa kufikiri nje ya Kagame.
Hivi mathalani huyo Kagame akifa leo, hiyo Rwanda ita stop to exist!?
Kwa mchapa kazi kama Kagame acha atawale hata milele,ili mradi wananchi wana neemeeka.Uliza wa libya wanajuta kumuua Gadaffi kwa demokrasia waliyodanganywa na wamarekani
... Nashukuru Kwa Kuchangia Hoja. Vipi Lakin Hoja Umeielewa, Au Unaotafuta Tu Makosa, Kiswahili Sikuzaliwa Nacho Mkuu Nimekulia Kijijini
kagame kuendelea kutawala ni pigo kwa uchumi wa tanzania,ccm ijiandae kudhalilika
... Mkuu, Wanyarwanda Wenyewe Ndio Wameamua Kumuongezea Muhula, Na Siyo Matakwa Yake. Alafu Kagame Anapendwa Sana Kwa Kazi Zake Siyo Kama Nkurunziza Mzembe Yule
Hata Libya,Iraq,Somalia zina exist kiramani.Demokrasia ya wamarekani inawatoa akili kabisa.Gharama za marais wastaafu tanzania nani anazibeba?maana wapo lukuki na bado wataendelea kuwa wengi zaidiMawazo ya KIFASHISITI na ya watu walioshindwa kufikiri nje ya Kagame.
Hivi mathalani huyo Kagame akifa leo, hiyo Rwanda ita stop to exist!?
... Mkuu, Wanyarwanda Wenyewe Ndio Wameamua Kumuongezea Muhula, Na Siyo Matakwa Yake. Alafu Kagame Anapendwa Sana Kwa Kazi Zake Siyo Kama Nkurunziza Mzembe Yule