Kagame: I Fired EAC Minister Due To Incompetence

Kagame: I Fired EAC Minister Due To Incompetence

fangfangjt

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
571
Reaction score
139
Chimpreports.com-Uganda News - Kagame: I Fired EAC Minister Due To Incompetence

Why EAC ministry bosses were sacked - The New Times Rwanda

Rwanda President Paul Kagame has said he sacked the Minister of East Africa Community affairs, Monique Mukaruliza on Thursday night over incompetence.

The President, who is well known for speaking his mind and holding to account civil servants in public, on Friday, revealed that he replaced Mukaluriza with Jacqueline Muhongayire because the former fell short of properly organizing the recent EAC delegates’ conference in Kigali.

“Why can't you communicate, where's your coordination. We can't reach any goals without working efficiently. This is the reason why I decided to change the Minister of East African Community,” said Kagame.

The President was presiding over the swearing-in ceremony of the new Chief of Defense Staff, Gen. Patrick Nyamvumba who replaced Gen Charles Kayonga and the new Deputy Inspector General of Police in charge of Operations, Dan Munyuza.

Muhongayire was also sworn-in today.

A visibly angry Kagame said he personally requested Foreign Affairs Minister Louise Mushikiwabo to apologize to East Africa Community (EAC) delegates because of how the meeting was poorly organized.

Kagame said he made the scandal public to “stop any further speculation” in the public domain.

“It looks like some of you have forgotten their responsibilities. I hope that this is the right time for the leaders who sworn-in today to make sure they meet their goals,” warned Kagame.

“I'm reminding you that we have to collaboratively work together for the development of the country. Rwanda cannot be changed by words alone, we need action and we need to work together efficiently.”

He further elaborated that for Rwanda to achieve her goals, it requires a change of mindset, an understanding of challenges and solutions, productivity and efficiency.

“Rwandans must be ready for the struggle that is required to reach our own goals. Staying where we are today requires no effort but achieving our goals will require hard work and constant fight,” the President encouraged his countrymen.

Kagame said he would not accept leaders who continue to neglect their duties.

“Where our country stands today and where we hope to reach does not allow any of us to work at same pace as those more advanced. The responsibility we have been given is not one to take for granted or lightly,” he added.
 
Hapo ndio huwa namkubali PK,ingawa inaweza kuwa kamfukuza akiwa na motive ingine kabisa
 
Pamoja na mapungufu yake bado namkubali kiutendaji ndani ya nchi yake hacheki na nyani kwa hofu ya kuvuna mabua
 
kama ingekuwa ni TZ naamini mawaziri karibia wote wangekuwa
wameshatimuliwa............ufanyaji kazi wake unafurahisha saana.........unatia matumaini kwa raia wake...........kinachosikitisha Mabaya yake kwa sasa yanakaribia kuzidi mazuri yake
 
Je unaweza kunitajia hata tusi moja ambalo PK alimtusi JK.? tatizo mswahili akiambiwa ukweli anadai katukanwa/kadhalilishwa,
alichofanikiwa JK ni kuwahadaa Wadanganyika kuwa ametukanwa ili aonewe huruma wakati mwenyewe anajua ukweli!

Heeeee!!.
 
unataka ku2aminisha kuwa hz habari za PK,kumtusi jk wewe huyajui! Acha kukurupuka kijana!
 
Huyu ndio raisi wetu in a nutshell. Hana mchezo katika kazi. Hana ndugu katika kazi. Yeye anaangalia maslahi ya nchi kwanza. Maandalizi mabovu ya mkutano tu yanamfukuzisha kazi waziri. Uwajibikaji. Hapo tanzania haya yanawezekana kweli?
 
Kagame ni dictator, na anataka Mawaziri wake wafanye kazi kama anavyotaka yeye.

Hii taarifa ni ya upande mmoja; hatujasikia kutoka kwa waziri aliyefukuzwa. Tusichukulie tu kuwa Waziri alikuwa na makosa kwa sababu Kagame kasema.

Inawezekana Waziri alikuwa sahihi, ila walitofautiana kimtizamo, na Kagame akamtimua kwa kuwa ndiye mwenye uamuzi wa mwisho!
 
unataka ku2aminisha kuwa hz habari za PK,kumtusi jk wewe huyajui! Acha kukurupuka kijana!

umeambiwa kama una orodha ya matusi hayo weka hapa! Ukweli ni kwamba JK anamtumia PK kujaribu kujirudishia upendo toka kwa watz wanaoichukia serikali yake!
 
Je unaweza kunitajia hata tusi moja ambalo PK alimtusi JK.? tatizo mswahili akiambiwa ukweli anadai katukanwa/kadhalilishwa,
alichofanikiwa JK ni kuwahadaa Wadanganyika kuwa ametukanwa ili aonewe huruma wakati mwenyewe anajua ukweli!

Acha uropokaji.
 
Huyu ndio raisi wetu in a nutshell. Hana mchezo katika kazi. Hana ndugu katika kazi. Yeye anaangalia maslahi ya nchi kwanza. Maandalizi mabovu ya mkutano tu yanamfukuzisha kazi waziri. Uwajibikaji. Hapo tanzania haya yanawezekana kweli?

Ameweza hayo lakini ameshindwa kuwa msimamizi wa mdomo wake!
 
...Aliposema angepewa Tz kuiongoza angehitaji miaka mitano tu kuitransform - JK alidhani anatukanwa.
 
sasa siunitajie hata tusi moja tu! alilotukanwa? JK anachofanya kwa sasa ni kutafuta vijisababu vya kipuuzi ili kuficha madhaifu yake kwa kushindwa kutimiza ahadi alizotoa 2005 na 2010, na Wadanganyika wasivyopenda kutumia kichwa kufikiri wametekwa katika mkumbo huo!!

hakuna lolote mkuu, sisi watz sijui tutaamshwa na nini! Kila siku tunaskia mikakati ya rwanda kiuchumi sisi tunapiga domo kumtetea JK eti katukanwa, shame on us!
 
JK alisema "...do not be deceived by my smile, I am serious on issues" hadi leo sijajua ni issues gani yupo serious
 
This slim boy is very serious!!! Napenda uchapakazi wake kama si matusi yake ya juzi kwa Rais wetu bado ningemuona Rais wa mfano wa kuigwa!!

sidhan kama mheshimiwa wetu anaweza kufanya maamuzi kama haya.
 
umeambiwa kama una orodha ya matusi hayo weka hapa! Ukweli ni kwamba JK anamtumia PK kujaribu kujirudishia upendo toka kwa watz wanaoichukia serikali yake!

  1. PK alisema kuwa JK ni garasa (karata isiyokuwa na thamani) alipokuwa anaongea na vijana
  2. Akasema atamtandika wakati sahihi
  3. Akasema ni mjivuni, mpenda sifa
  4. Na mengine mengi
 
Back
Top Bottom