Kagame baba wa East afrika


Mkuu uko sahihi kabisa. Hakuna uhuru wa kukosoa dola nchini Rwanda. Upinzani hukumu yake ni kifo tu. Kila kitu huko ni NDIYO MZEE. Ila namkubali Kagame kwa kupunguza sana masuala ya Rushwa, kukuza uchumi na kuongeza uwajibikaji kwa watendaji wa serikali.
 

Ni kweli kabisa mkubwa. Jamaa ukimkosoa tu anakumaliza....
 

...tutajie mpinzani mmoja tuu aliyehukumiwa kifo kwa ajiri ya kuwa upande wa upinzani,and pls dont come with propaganda BS za kwenye net zinazosambazwa na mafisadi or genocidals walioua milions sasa wanaoogopa kurudi kwao,FYI theres no death penalty in Rwanda
 

In Rwandan law books......there is no death penalty......... but in practice death sentence is there...... tena sheria yao ya kifo ambayo ni ya kisirisiri inaua hata watuhumiwa wa Kagame walio nje ya Rwanda. Wanafuatwa kuuawa popote pale walipo nje ya Rwanda......
 

Kwenye hiyo red ww kweli ni wa KUPOTEZEA.............
 
...wewe bantugro hayo matope yako unayowaza yanaanza kunipa wasiwasi kama uko sawa huko juu,kuna ubaya kukubali jirani yako anafanya vizuri na kujifunza?

Teh!, teh!, teh!, tope sio sawa mkuu!...Lakini ukweli unabaki palepale vijana hawatakiwi kupoteza umph ya utaifa wao, uchaguzi hauko mbali ('15) kama tuna nia tutapata viongozi wazuri inshaalah!. Hata wewe unatambua kuwa njia ya kuelekea kwenye neema huwa ina vishawishi vingi (kishawishi kimojawapo ni kutaka kuongozwa kikatili:hatari.
 
Mkono wake mmoja umesheheni sifa kemkem...na mwingine una madhambi kibao yanayohitaji kupatiwa majibu haraka iwezekanavyo. Time will tell! Sure it will not be 42 years like Ghadafi but, the permanent solution to Africa's problems is to change the way we run our affairs.
 
Kama suala la maendeleo linategemea ukubwa wa kijiografia wa nchi husika mbona comoro na zanzibar ni masikini? Mbona Madagascar bado ni masikini? Mbona Shelisheli na Mauritius ni ndogo lakini zina GDP ya kufa mtu... nchi kama tanzania zimekozsa good governance na sera mbovu za maendeleo, kadhalika africanization tuliyoikumbatia baada ya uhuru imetufikisha hapa! Tulitaifisha wawekezaji wachache waliokuwepo wakakimbia hao weusi wenzetu wakaibuka na africanization ikazaa "wabenzi"...

Tusiwalaumu wazung sisi wenyewe ni stupid! rushwa na tamaa mbele! mwizi anapongezwa...! Isitoshe hata mifumo yetu ya hifadi ya jamii ni ya hovyo.... hivi investments zinazowekwa kwa fedha za wanachama... returns zake zinamnufaisha vipi mwanachama? mwisho wa siku mwanachama analipwa kwa kukokotoa toka kwenye mishahara yake mizuri y mwisho.. kwa nini returns za investments zilizotokana na michango yake hwaiwi considered?

Tunahitaji mwabadiliko ya dhati .. na kwa hali ilivyo itatuchukua muda... ni rahisi kuongoza na kuburuza watu waliokosa elimu kama watanzania kuliko kuongoza na kuburuza wananchi waliosoma.. isitoshe kwa watanzania kukosa elimu (wengi wao) ni mipango na mikakati iliyosukwa kisomi ili wanaotawala waendelee kutawala!!! habari ndiyo hiyo!!
 
Tumekuhifadhi leo unaleta matusi, ndio fadhila zako! we kweli ndio mende (Inyenzi). Kagame mwenyewe anajua ni MUUAJI MKUBWA we leo unamtetea nini?, huyo hafai hafai hata kidogo!, kwanza vyombo vya habari ulivyotaja huwa vinamfagilia kwa sababu pale ndio mlango wa wizi Congo! Nani hajui kama kagame amesoma marekani na amesaidiwa na marekani na anaendelea kulindwa nao ili asishitakiwe? Subili kidogo utaona, watamnyonga kama alivyofanywa Sadam Husein. Hawana rafiki hao, ohoo!
 

Unamjua yule mama aliekuwa anagombea?, unakumbuka mikiki aliyopata kipindi hicho? unajua aliwekwa ndani mara ngapi? Unamjua aliekuwa rais kabla ya Kagame?, unajua yaliyomtokea? KAGAME hafai wewe! kama yuko safi akubali ashitakiwe basi mahakama imsafishe na amuachie Muasi mkuu wa Congo anaemhifadhi ashitakiwe
 

Kama Kagame Akiongoza Tanzania, akina Mh Slaa, Mbowe, Zitto kabwe, Mh Lipumba, Mrema n.k watauawa mara moja.

Je unalikubali hilo? Kama hivyo ndivyo si tu tumsubiri Kame bali hata wenyewe tunao wengi Tanzania wenye uwezo kama huo hakuna hata haja ya kwenda huko. Lakini kwa vile tuliamua kuivulia njuga Demokrasia ndio na vumbi lake tulibebe.

Unapompa mwananchi wa darasa la saba, na hata wasiofika hata darasa la saba kuchagua kiongozi uelewe ni nini maana yake. Kwa tafsiri nyepesi DEMOKRASIA NI MWENDO WA POLEPOLE SANA LAKINI NI WA KUDUMU KWA VILE UNAWASHIRIKISHA WANANCHI WOTE. Asikudanganye mtu ALIYOYAFANYA GADAFFI LIBYA KATIKA UCHUMI HAKUNA NCHI HATA MOJA YA AFRIKA IMEFANYA HIVYO, LAKINI YUKO WAPI.

Tatizo kwa mwanadamu si tu uchumi bali uhuru fulani wa kujiamulia mambo yake mwenyewe ambao kwa bahati mbaya haupatikani katika udikiteta bali katika demokrasia tu. Kwa vile tunachagua wenyewe majambazi kuongoza nchi tunaridhika nayo hata kama tukilala njaa.
 

Maprofesa wote wqa uchumi wanakubaliana kuwa ADOLF HITLER aliinua uchumi wa Ujerumani na ndio aliyoanzish Volks wagen (Peoples car), ikiwa ni gari ya walala hoi. Lakini mwisho wake ulikuwaje? Hapo utapata jibu kuwa uchumi sio kila kitu katika maisha ya mwanadamu.

Mwisho wa Kagame utakuwa mbaya sana, wewe subiri tu.
 

[h=2]Angalia Maajabu ya gadafi aliyoyafanya Libya, na vipi ameondoshwa madarakani. Hii ni kwa sababu aliwanyima walbya uhuru wa kuongea au kumpinga kama afanyavyo Kagame. Na mwisho wa kagame utakuwa ni sawa na huu.[/h]


1. There is *no electricity bill* in Libya; electricity is free for all its citizens.

2. There is *no interest on loans*, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.

3. *Home* considered a human right in Libya - Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a home. Gaddafi's father has died while him, his wife and his mother are still living in a tent.

4. All newlyweds in Libya receive *$60,000 Dinar* (US$50,000) by the government to buy their first apartment so to help start up the family.

5. Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi only 25% of Libyans are literate. Today the figure is 83%.

6. Should Libyans want to take up *farming* career, they would receive farming land, a farming house, equipments, seeds and livestock to kick-start their farms - all for free.

7. If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government funds them to *go abroad* for it - not only free but they get US$2,300/mth accommodation and car allowance.

8. In Libya, if a Libyan buys a *car*, the government subsidized 50% of the price.

9. The price of *petrol* in Libya is $0.14 per liter.

10. Libya has *no external debt* and its reserves amount to $150 billion - now frozen globally.

11. If a Libyan is unable to get *employment* after graduation the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.

12. A portion of Libyan *oil sale* is, credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.

13. A mother who *gave birth* to a child received US$5,000

14. 40 loaves of *bread* in Libya costs $ 0.15

15. 25% of Libyans have a *university degree*

16. Gaddafi carried out the world's largest *irrigation* project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.
 
...wewe nilishakueleza hiyo elimu yako ya madrasa haikukusaidia,halafu acha kuja humu JF na kujifanya everything analyst na unajua kila kitu with zero facts!

Teh teh teheeee........ nilikueleza siku nyingi kuwa unapotaka kujadiliana na mimi JF hogo pevu lazima uwe muerevu...... mimi situmii hasira kujadiliana na mtu kama wewe in desperate...... unaongea story za Rwanda utafikiri uko kwa kagame.....

halafu kwa taarifa yako kagame haivi na mashoga..... baki huko huko ulikozamia.........
ukija tu atakumaliza hata kama unamfagilia...
 
Baba yetu ni MUNGU na si binadamu.Tunaweza muita mtu baba wa kiroho kwa kuwa kupitia yeye tumepata mwanga wa maisha ya kiroho ambayo hayana kikomo baada ya ukomo wa maisha yetu hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…