Kagame asitusha msiba wa Mandela

Kagame ni baadhi ya marais wachache na makini sana ktk bara la africa. Na kagame angefaa kuwa rais wa africa hata japo kwa mwaka tu mgeona namna ambavyo africa ingesonga mbele kimaendeleo. Sera ya kagame ni kwamba mali za waafrica zinatakiwa ziijenge africa na siyo ughaibuni. Suala la kualikwa kwenda ughaibuni kusherekea xmas siyo deal na huku wananchi wako wanapata taabu, wengine wanabakwa, njaa, vikongwe wanakufa kwa kukosa matunzo, watumishi kodi juu nk. Inasikitisha sana. Kagame juu we ni jembe na kagame anafahamu kulinda usalama wake ni jasusi makini kama alivyowahi rais bushi kwenda iraq wakati wa vita vya kumuondoa sadaam hussein. Nimeipenda sana safari ya kagame nchini africa kusini. Aliyefiwa si zuma ni familia ya mandela na wanatakiwa kupewa pole.
 

na mwenye masikio asikie,mwenye macho haambiwi tazama....au mlitaka iwe kama ya bro kuongea pale kanisani magazeti yote home yalichafuka "speech ya jk yavuta hisia za wengi" kwa lipi?nini alichozungumza kilichokuwa touching zaidi ya yule mzee mhindi aliyefungwa na Mandela (R.I.P)......
 
 

una takwimu?bila utafiti huna haki ya kuongea hilo hulijui ,,,,,,umekurupuka brother....kagame huwezikumwelewa ukiwa na kichwa hicho hicho.....wakati obama anaenda tz alikuwa na viongozi gani wa serikali?kumbe deal haipo kwa marais(fisadi) deal ni watu binafsi..hana urafiki wa kipuuzi....hadi unapoandika hujui kama "jembe" Kagame yupo kwa huyu jamaa....Macky Sall
umekurupuka...Kagame had his to say "I am glad to visit my brother President Macky Sall with whom we have worked closely. We discussed bilateral issues and areas of mutual interests and cooperation. This also gave me an opportunity to invite President Macky Sall to Rwanda"
 
Unawajua wababe wa vita, wababe wa vita ni wale walioko msituni kudai haki ya wananchi na si haki ya kundi flani kama alivofanya Kagame na anavoendelea kufanya kwa kukanyaga miguuni demokrasia. yule ni insurgency
kwa mtazamo wako....
 
Huyu Bwana Rais, nasikia anahusika na jaribio la kumpindua Salva Kiir pale Sudani Kusin
 
Bora yeye aliwahi kurudi kwake,kuna mwingine yeye huunganisha juu kwa juu leo paris,marekani yaan bado mbinguni tu ndio hajatembeleaa
 

Tatizo kubwa ni lile jaribio lililofanyika la kutaka kumuua yule jenerali wa Rwanda aliyeomba ifadhi ya kisiasa Afrika Kusini. Japo alipigwa risasi za tumbo hakufa, na kati ya waliotekeleza mpango huo, walikamatwa majasusi wawili wa Kinyarwanda ambao hadi sasa wanashikiliwa na vyombo vya usalama wa Afrk Kusini. Balozi wa Rwanda alikuwa 'summoned' na serikali ya A. Kusini kujieleza japo anakana kuwa serikali ya Rwanda haihusiki na jaribio hilo.
 

Umetisha sanaaa Wabongo wanamkubali kiaina ndio maana wnaweza hata kumuandika kama kaua je kuna Mtz aliuwawa kule...???Wabongo bana
 
Haya mabeef yakijinga yanatusaidia nini sisi jamii ya manyani? kwanini sisi manyani hatupendani? Haya manyani yanayojaribu kujipatia ndizi kwenye nyika ya congo drc kwanini tunayaadhibu ilhali ndizi yote zinapelekwa Ulaya kwa msaada wa Manyani wenzao? Kweli Manyani hatuna akili... No wounder kila kitu kwa Msaada wa watu wa ....Malizia jibu mwenyewe...
 
Walikuwa wanawaibia Wakongo kupitia M23. Sasa hadithi imeisha. Hata ningekuwa mimi lazima ningechukia kwani M23 ambayo ilikuwa chanzo changu cha mapato imemalizwa na TZ, SA na Malawi.
 

Nyani mwenyewe na ukoo wako
 
naipenda sana rwanda jamaa wako very strick..ukiambiwa endesha speed 40km/h, ukivuka inakula kwako, ukifanya ujanja ujanja ktk kulipa kodi inakula kwako....hawa jamaa hawana utani bana!
 
naipenda sana rwanda jamaa wako very strick..ukiambiwa endesha speed 40km/h, ukivuka inakula kwako, ukifanya ujanja ujanja ktk kulipa kodi inakula kwako....hawa jamaa hawana utani bana!

rwanda ina serikali ya ajabu, ufisaidi ni kwa familia ya kagame na ndugu zake wa karibu tu, wengine ndiyo wanaotakiwa kufuata sheria na kumtumikia kagame na genge lake la kitusi
 
Walikuwa wanawaibia Wakongo kupitia M23. Sasa hadithi imeisha. Hata ningekuwa mimi lazima ningechukia kwani M23 ambayo ilikuwa chanzo changu cha mapato imemalizwa na TZ, SA na Malawi.

sasa kahamia sudani ya kusini, muda si mrefu tutayavurumisha tena haya majizi ya kitusi
 
Umetisha sanaaa Wabongo wanamkubali kiaina ndio maana wnaweza hata kumuandika kama kaua je kuna Mtz aliuwawa kule...???Wabongo bana

nani aongozwe na m...e..n..d..e ? labda aendelee kuwaongoza hao watusi wenzake wasiojielewa bado hata wahutu wamestuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…