Umetembelea nchi ya Rwanda au umetembelea Kigali? umefika vijijini wewe? Taabu watu wengi wakitembelea kigali wanarudi na kusema wametembelea Rwanda na kuona ina maendeleo si kelele hizo watarudi na kutukana hadi nchi kuwa Tanzania bure Kabisa.Rwanda sio KIGALI pekee.[/QUOTE
safi sana kwa maoni yako,,, Ruanda ina ukubwa sawa na baadhi ya mkoa mmoja wa tz,, ina watu wasiozidi 6mil, mtu anataka kuicompare na tz.. sawa sawa na mtu atembelee mwanza mjini halafu atuambie eti tanzania imeendelea..
Ruanda hii watu wamesahau kuwa UN watu walikaa vikao ili kuisaidia misaada ya bure ili kuiokoa baada ya vita..
kuna watu kaka ni wavivu wa kufikili tanzania kubwa sana,,
huyo jamaa kwa visasi mwisho, ni kati ya marais watakao ondolewa madarakani kwa kuuwawa. ni mbabe mno!
Umetembelea nchi ya Rwanda au umetembelea Kigali? umefika vijijini wewe? Taabu watu wengi wakitembelea kigali wanarudi na kusema wametembelea Rwanda na kuona ina maendeleo si kelele hizo watarudi na kutukana hadi nchi kuwa Tanzania bure Kabisa.Rwanda sio KIGALI pekee.[/QUOTE
safi sana kwa maoni yako,,, Ruanda ina ukubwa sawa na baadhi ya mkoa mmoja wa tz,, ina watu wasiozidi 6mil, mtu anataka kuicompare na tz.. sawa sawa na mtu atembelee mwanza mjini halafu atuambie eti tanzania imeendelea..
Ruanda hii watu wamesahau kuwa UN watu walikaa vikao ili kuisaidia misaada ya bure ili kuiokoa baada ya vita..
kuna watu kaka ni wavivu wa kufikili tanzania kubwa sana,,
Hayo ni maneno ya kujifariji tukubaliane na ukweli sisi mipango thabiti ya maendeleo wenzetu wametuacha hili suala la kuangalia ukubwa na wingi wa watu ni ujinga kwani Mungu aliliona hilo na ndio maana tukapewa rasilimali nyingi lakini tumeshindwa kuzitumia.
Si kwa ajili ya wazungu kama ni kww ajili ya wazungu wana Google map na masatelite wakitaka kuizoom rwanda yote acha Noma
Huyu jamaa wampige risasi mtu mbaya sana kwa maendeleo ya kanda ya ziwa
Kwan yupo pale kwa ajir ya kutengeneza urafik na marais ama kuwatumikia warwanda? Cheki takwimu kiuchumi kati ya jk mwenye marafik wengi vs pk ambaye mnasema hana marafikiMarafiki wengi wa Kagame sasa hivi ni watu binafsi siyo maraisi.Hata akisafiri nje ya nchi anakutana na watu binafsi zaidi.Wageni maarufu wanaotembelea Rwanda si viongozi wa Nchi ni watu binafsi kama ma-cerebrities.Hatembelewi na maraisi.Raisi anayeweza mwita rafiki ni museveni na Rafiki wa mashaka Kenyatta.
Hii inaamaanisha kitu kimoja tu FAILED FOREIGN POLICY FOR RWANDA.Raisi asiye na marafiki maraisi ujue shida ipo mahali.
Huyu mara nyingi anaongozwa na kivuli chake.
Kwan yupo pale kwa ajir ya kutengeneza urafik na marais ama kuwatumikia warwanda? Cheki takwimu kiuchumi kati ya jk mwenye marafik wengi vs pk ambaye mnasema hana marafiki
Hayo ni maneno ya kujifariji tukubaliane na ukweli sisi mipango thabiti ya maendeleo wenzetu wametuacha hili suala la kuangalia ukubwa na wingi wa watu ni ujinga kwani Mungu aliliona hilo na ndio maana tukapewa rasilimali nyingi lakini tumeshindwa kuzitumia.
hii kaka ndo hoja unayotakiwa kuiweka mezani na sio kutufananisha na RUANDA, tatizo la TANZANIA ni tatizo la AFRICA, tunatakiwa tuongozwe na maraisi kama HITTLER, SAADAMM, GADAFI au MAO, vinginevyo tunapoteza mda tuendelee tu kuishi hivihivi,, SOUTHAFRICA unayoisikia leo inajengwa na makaburu bado waafrika wenyewe wanakula bata, ( si tabu mbeki wala zuma wote nafikili umesikia skendo zao).
Wasomi wote watanzania ni blahblah tu hawana jipya, vijana leo hii wako shule wanafikilia utajili, dada zetu wako vyuoni wanajiuza tunawaona!!!!
inatakiwa WATANZANIA tufe nchi ianze upya kaka...
Kagame akienda nchi za kidemokrasia kama ulaya na SA huwa anajificha-ficha ratiba yake isijulikane, kwa sababu wanyarwanda wakijua anakuja, wanaandamana na mabango na hata kumtupia mayai!
hali huwa kama hivi:
Hadi mzungu anamwaga radhi, kagame kweli mbaya!
Thread: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/509354-video-kagame-apigwa-mawe-london.html
watusi ni hovyoooooooooo
hii kaka ndo hoja unayotakiwa kuiweka mezani na sio kutufananisha na RUANDA, tatizo la TANZANIA ni tatizo la AFRICA, tunatakiwa tuongozwe na maraisi kama HITTLER, SAADAMM, GADAFI au MAO, vinginevyo tunapoteza mda tuendelee tu kuishi hivihivi,, SOUTHAFRICA unayoisikia leo inajengwa na makaburu bado waafrika wenyewe wanakula bata, ( si tabu mbeki wala zuma wote nafikili umesikia skendo zao).
Wasomi wote watanzania ni blahblah tu hawana jipya, vijana leo hii wako shule wanafikilia utajili, dada zetu wako vyuoni wanajiuza tunawaona!!!!
inatakiwa WATANZANIA tufe nchi ianze upya kaka...
Sana sana Jembe sisi tushazoeana kuchukulia Poa bila kujua Time haina urafiki na mtu.
Hili jembe la Africa tuache chuki zisizokuwa na maana.
Personally nimetembelea nchi yake on official business mtu asikudanganye jamaa wameibadilisha sana nchi yao.Actually naweza kusema wanakimbia wakati tutembea na hawana natural resources zozote uki compare na zetu.
Jamaa ana vision kubwa, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Ndio wakina nan hao wanatokea wap hao Wivu tu kwa ka nchi Kadogo kama Rwanda shida wabongo mnapenda sifa nje kimataifa halafu kwenu hakuna kitu uvivu tu ndio umewajaa mambo ya fulan ana hela sijui katoa wap
Sana sana Jembe sisi tushazoeana kuchukulia Poa bila kujua Time haina urafiki na mtu.
kagame ni nyoka anayetakiwa kupondwa kichwa, mauaji ya kimbari ya rwanda, uporaji na mauaji yanayoendelea DRC NI SEHEMU TU YA MAOVU YANAYOMTAFUNA KAGAME
kagame ni zaidi ya kisirani katika afrika, ona anavyochochea mauaji sudan kusini ili apate upenyo wa kuiba mafuta ya s. sudani, kagame ni zaidi ya mwalifu
wabongo hatutafuti sifa, kama ni sifa tunazo nyingi na hata kuzibeba hatuwezi, kuanzia ukombozi wa kusini mwa bara la afrika, na kudumisha amani ndani na nje ya dunia hii ikiwamo rwanda, Taifa pekee afrika lililoweka historia ya kumwadabisha raisi jeuri wa nchi nyingine na kuweka utawala wa kidemokrasia.
kagame ni nyoka anayetakiwa kupondwa kichwa, mauaji ya kimbari ya rwanda, uporaji na mauaji yanayoendelea DRC NI SEHEMU TU YA MAOVU YANAYOMTAFUNA KAGAME
Siasa mnajua sana wabongo nenden mkamtoe sasa.Hakuna kinachomtafuta halafu yeye anawajua wazungu kuliko nyie wabongo ...!!