Kagame asitusha msiba wa Mandela

Yakweli bora umemwambi,watz wengi wanatabia ya kusifia vya watu na kudharau vyakwetu.Ukiwa Kigali utasema Rwanda inamaendeleo lkn nenda vijijini utaona,ni kweli kwamba kuna ardhi yenye rutuba lkn je kwa mwananchi wa kawaida hali ni hiyo tunayohubiriwa?
 
Nimefika Rwanda familia kula milo miwili ni kawaida. Kutokunywa chai kwa kukosa uwezo wa kununua sukari ni kwaida. Mgeni usishangae ukiambiwa ujitegemee kwa chakula au uchangie chakula. Kifupi hakuna chochote cha maana dhiki tu.
 
huyo jamaa kwa visasi mwisho, ni kati ya marais watakao ondolewa madarakani kwa kuuwawa. ni mbabe mno!
Mbabe wapi mnampa sifa za kijinga tu huyu mpu mba vu Kagame. Ilibidi mibomu ya JWTZ itue hadi Ikulu ya Rwanda,mtu gani hadi mungu kamnyima afya na kumwachia mimacho kama bundi.
 
Hakuna Vision yoyote. Kawaibia DRC madini na mbao, akajenga nchi yake.
 
Ahaaaa sana Katisha Sana PK waswaili wanamuonea wivu kinoma na inawauma sana.
 
Mbabe wapi mnampa sifa za kijinga tu huyu mpu mba vu Kagame. Ilibidi mibomu ya JWTZ itue hadi Ikulu ya Rwanda,mtu gani hadi mungu kamnyima afya na kumwachia mimacho kama bundi.

Chuki binafsi itakuua hyo na inaonekana imekuuma sana Kagame yuko Juu sana.
 
Nimefika Rwanda familia kula milo miwili ni kawaida. Kutokunywa chai kwa kukosa uwezo wa kununua sukari ni kwaida. Mgeni usishangae ukiambiwa ujitegemee kwa chakula au uchangie chakula. Kifupi hakuna chochote cha maana dhiki tu.

Ulienda kuleta utanzania kule mambo ya kiswahili kuchukuliana Poa mambo ya mtu mnakutana Bar stor kidogo unamnunulia bia Wabongo bana noma sana Kule maisha ni kujitegemea na kama ni dhiki so....???? Vinakuhusu vya rwanda why usiseme juu ya Tz yako..????
 
Hamia huko mkale nae bata ndg yangu,kitongoji kilingane na Tanzania yote?
 
Nimefika Rwanda familia kula milo miwili ni kawaida. Kutokunywa chai kwa kukosa uwezo wa kununua sukari ni kwaida. Mgeni usishangae ukiambiwa ujitegemee kwa chakula au uchangie chakula. Kifupi hakuna chochote cha maana dhiki tu.

Ulienda kuleta utanzania kule mambo ya kiswahili kuchukuliana Poa mambo ya mtu mnakutana Bar stor kidogo unamnunulia bia Wabongo bana noma sana Kule maisha ni kujitegemea na kama ni dhiki so....???? Vinakuhusu vya rwanda why usiseme juu ya Tz yako..????.
 
Compare rasilimali walzo nazo na za Tz ndio useme na Ubora wa viongozi wa Tz na Rwanda ndio ulete majibu
 
Hakuna Vision yoyote. Kawaibia DRC madini na mbao, akajenga nchi yake.

Nchi yake wapi, kajenga kigali tu kwa ajili ya kuonyesha wazungu, kwingine kote choka mbaya.
 
wezi wengi na wauwaji wana nyumba nzuri tuu, heri umasikini wa Tanzania, kuliko utajiri na mikono iliyojaa damu, kwenda zao, aende Uganda akanywe kahawa
Hamia huko mkale nae bata ndg yangu,kitongoji kilingane na Tanzania yote?
 
huyo jamaa kwa visasi mwisho, ni kati ya marais watakao ondolewa madarakani kwa kuuwawa. ni mbabe mno!

Hao jwtz mbona wajaenda kumuondoa na alikua inadaiwa anasapot waasi DRC na Why wale waasi walikimbilia Rwanda na Uganda hamjaenda kuwachukua na Picha linaanza Kabila akatia sain na Waasi kusitisha mapigano huoni mlikua mmeingilia kesi isio wahusu
N:B kutia sain za makubaliano ni kua kuna vitu mnashirikiana
Holla Kagame.
 
wezi wengi na wauwaji wana nyumba nzuri tuu, heri umasikini wa Tanzania, kuliko utajiri na mikono iliyojaa damu, kwenda zao, aende Uganda akanywe kahawa

Marekani ni mwizi no.1 duniani anakula bata Hana Muda mtakufa maskini kudadeek.
 
Nchi yake wapi, kajenga kigali tu kwa ajili ya kuonyesha wazungu, kwingine kote choka mbaya.

Si kwa ajili ya wazungu kama ni kww ajili ya wazungu wana Google map na masatelite wakitaka kuizoom rwanda yote acha Noma
 
Kagame anajulikana kama mbabe wa vita
Alipambwa hivyo kwa sababu kipindi kile alisaidiwa na nchi nyingi kuanzia ki-iinteligencia kivita n.k na mataifa mengi.Sasa hivi wamembwaga sababu habebeki ukimbeba anatoa miguu kwenye mbeleko mgongoni.Ile miguu yake mgongoni ni mirefu ukimbeba ukamfunga na mbeleko inafika hadi ardhini inaburuzika.Waliokuwa wakimbeba wameamua kumtua kwa kuwa hatulii mgongoni na hana shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…