Iran ijiandae kwa kipondo cha Mbwa-koko!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,571
Reaction score
7,957
Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.

"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.

Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.

November? Wakati atakua ameanguka Congress. Kwanza huyo Netanyahu mwenyewe hana uhakika wa kurudi kama waziri mkuu.

Ni vitisho tu vya siku zote tumevizoea
 
Hata mimi nataka Benjamin Netanyahu asirudi aje kiboko yenu Waziri wa Usalama Gvir ili muisome namba vizuri.

Netanyahu wakati mwingine huwa ana utu na anasikiliza vilio vya watu!! Uzuri wa Gvir ni mbele daima nyuma mwiko mpaka magaidi waishe!!
 
Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.

"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.

Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.

Anapigwa Iran anayeathirika zaidi ni Marekani na Umoja wa nchi za Ulaya. Patamu hapo
 
Back
Top Bottom