Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Hakuna wa kubisha,Rais ndio mkuu wa nchi,tupende tusipende akisema yeye amesema lazima tukubali.Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa mbele ya haki mutaulizwa mulifanya nini kutetea haki.
na nandio maana kimemo kilitoka hukohuko.