falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,227
- 9,356
leo katika mkutano wake wa mjini kahama david kafulila amefunguka na kusema ngoma ya escrow bado mbichi sana,juzi alikutana na taasisi za kimataifa kutoka uingereza wakijadiliana namna ya kuhakikisha kila aliehusika na kashfa ya escrow ajute kuzaliwa.pia amepinga kitendo cha ikulu kumsafisha maswi akisema haiwezekani kesi ya nyani umpe ngedere