Kwanini wamuite yeye studio na usiitwe wewe ambaye hujaungaunga!Li i
Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.
Kwani wanasiasa hawana taaluma au humpendi tu Kafulila?Siasa tu ....tuliwaamini enzi hizo ...sasa inabidi tutengeneze kizazi kipya cha upinzani ...issues za uchumi waulizwe wachumi na wahasibu nguli ....wanasiasa waulizwe siasa ....
Fani yake ni nini??
Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.
Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.
Hakika!Huyu anafaa kusikilizwa maana anajitambua na pia maelezo yake yan mvuto.
ninyi wakina nani??au wewe na nani sijakuelewaNakuuuliza tena, sisi inatuhusu nini hata tukiku uliza wewee