KAFULILA Mbashara Chanell 10 Leo!

Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
 
You need to grow up
 

Kila mwamba ngozi.......
 
Namkubali sana huyu mjamaa,. nasubiria kwa hamu kipindi.
 
Li i

Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.

Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.
Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…