900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 5,678
- 6,016
ahahahaaaaaaaaaaaaa Tanzania yangu wenye mamlaka nchi imewashinda tutaambiwa CAG anatumika na chademaKupitia kipindi cha Clouds 360 Kafulila akihojiwa kwa njia ya simu amesema CAG alipaswa kusema ni wapi alipoona upungufu wa hizo sh 1.5 tril.
Kafulila anasema CAG ameamua au kudanganya ama kuwachanganya wananchi kwa kusema tu kuwa hizo fedha zilikusanywa halafu hazijulikani zilipo huu ni upuuzi.
CAG alitakiwa aende mbali kuelezea ni wapi fedha hizo zimepotelea na kamwe hilo siyo jukumu la bunge.
Chanzo: Clouds tv!