Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,958
143,586
Kupitia kipindi cha Clouds 360 Kafulila akihojiwa kwa njia ya simu amesema CAG alipaswa kusema ni wapi alipoona upungufu wa hizo sh 1.5 tril.

Kafulila anasema CAG ameamua au kudanganya ama kuwachanganya wananchi kwa kusema tu kuwa hizo fedha zilikusanywa halafu hazijulikani zilipo huu ni upuuzi.

CAG alitakiwa aende mbali kuelezea ni wapi fedha hizo zimepotelea na kamwe hilo siyo jukumu la bunge.

Chanzo: Clouds tv!
 
Tanzania ina takribani vijiji 16,000 nchi nzima. Nakumbuka wakati wa kampeni rais Magufuli aliahidi kugawa milioni 50 kwa kila kijiji, baada ya miaka miwili madarakani alikuja kukaririwa akisema serikali haina pesa za kugawa bure.

Hizi pesa zaidi ya trn 1.5 zilizopotea yaani matumizi yake hayajulikani serikali ingeweza kugawa million 100 kwa kila kijiji.

Kupanga ni kuchagua lkn wao wamechagua kuziweka kwenye mifuko ya watu binafisi halafu wanajiita ni wazalendo wanaopambana na ufisadi.
 
Kupitia kipindi cha Clouds 360 Kafulila akihojiwa kwa njia ya simu amesema CAG alipaswa kusema ni wapi alipoona upungufu wa hizo sh 1.5 tril. Kafulila anasema CAG ameamua au kudanganya ama kuwachanganya wananchi kwa kusema tu kuwa hizo fedha zilikusanywa halafu hazijulikani zilipo.....huu ni upuuzi. Cag alitakiwa aende mbali kuelezea ni wapi fedha hizo zimepotelea na kamwe hilo siyo jukumu la bunge. Source Clouds tv!
Nimemsikia akijibu hivyo nikamshangaa sana. Kweli kama ukihamia upande ule kule ndio akili zinakua hivi basi tuna safari ndefu sana.
 
Kupitia kipindi cha Clouds 360 Kafulila akihojiwa kwa njia ya simu amesema CAG alipaswa kusema ni wapi alipoona upungufu wa hizo sh 1.5 tril. Kafulila anasema CAG ameamua au kudanganya ama kuwachanganya wananchi kwa kusema tu kuwa hizo fedha zilikusanywa halafu hazijulikani zilipo.....huu ni upuuzi. Cag alitakiwa aende mbali kuelezea ni wapi fedha hizo zimepotelea na kamwe hilo siyo jukumu la bunge. Source Clouds tv!
HAWA MAODITA WANANISHANGAZA. MFANO WANAKUTA GARI LIMENUNULIWA WANALIONA ILA HAJAONA DELIVERY NOTE AU RISITI TU. HUNDI ILIYOLIPIWA LABDA NAYO WAMEIONAA NA KWENYE LEJA IMEWEKWA SASA UNAJUA WATARPOTI KWA NI HASARA KWA SERIKALI!!! HAYO TU NDIO MUELEWE HIYO 1.5 TR YAWEZA KUWA NYINGI NI KTK KUNDI HILI INGEBIDI WAWEKE BAYANA NI NINI KIMEKOSEKANA .
 
Back
Top Bottom