KichechefuHuyo ndie Kafulila akinadiwa na Lowasa wakati wa kampeni
View attachment 342317
Hapa akishukuru sana kwa kunadiwa na Lowasa
![]()
KichechefuHuyo ndie Kafulila akinadiwa na Lowasa wakati wa kampeni
View attachment 342317
Hapa akishukuru sana kwa kunadiwa na Lowasa
![]()
Ndio alipo potea maboya kukubali kunadiwa na fisadi kigoma haifagili mafisadi tumbili hawezi kurudi mjengoni kamweHuyo ndie Kafulila akinadiwa na Lowasa wakati wa kampeni
View attachment 342317
Hapa akishukuru sana kwa kunadiwa na Lowasa
![]()
Kama haki itatendeka,nitafuraia kumwona tumbili akirudi bungeni upya!
Tena ingekuwa safi kama "mwizi" angekuwepo mjengoni pia!Kama haki itatendeka,nitafuraia kumwona tumbili akirudi bungeni upya!
Acha uchochezi, kwanza Kiha gani hicho? Kwa nini mnapenda kuharibu lugha za watu?Ki kafurila kishindeee.....kaye naragafa ni chayeeee