Jaji F. Wambari Leo ametupilia mbali hoja za mawakili wa Hasna na serikali walizowasilisha nyaraka zaidi ya kurasa300 kuomba kesi ya Kafulila ifutwe na kwamba hawaoni kesi ya kujibu baada ya Kafulila na mashahidi wake 3 pamoja na vielelezo kupokelewa mahakamani.
Jaji ameelekeza kesi iendelee may 3. Hasna atoe ushahidi uliompa ushindi na msimamizi wa uchaguzi atoe ushahidi uliosababisha amtangaze Hasna mshindi.
Jaji ameelekeza kesi iendelee may 3. Hasna atoe ushahidi uliompa ushindi na msimamizi wa uchaguzi atoe ushahidi uliosababisha amtangaze Hasna mshindi.