Kafulila apewa za uso alivyojibu hoja za Zitto kuhusu ripoti ya CAG

Mtoa mada.

hiyo documentary ya mama Winnie sijabahatika kuiona.

kama hutojali naomba uweke hapa masharti aliyopewa bwana Mandela, na alilokubaliana nalo.

Shukrani zitangulie.
 
Wonders shall never end! Mimi sio mchumi, ila sijaona HOJA HATA MOJA ALIYOJIBU KAFULILA. REPORTS ZA CAG Nazifahamu siku nyingi Enzi za Mzee Utoh, nimejifunza kuzisoma na kuzielewa, Sasa kwa akili kama yako,sitegemei uongee tofauti na ulichoongea. Hakuna jibu lolote KAFULILA alilotoa lililozima Hoja za Zitto! Tuache Uchama, tuwe objective kwenye vitu sensitive Kama hivi kwa sababu ndiyo maisha yetu, NI FEDHA ZETU! Tukianza kuweka ushabiki kisa Vyama vyetu Taifa hili litabaki hapa lilipo Karne na Karne! Change your attitude!
Kafulila kupewa semina kwa miaka mitano ya kuzisoma taarifa za CAG. Pia kwa miaka mitano amekuwa akizifanyia kazi ripoti hizo bungeni. Siwezi kuacha kuamini uchambuzi wake na kukusikiliza wewe.
Wazo la uchama lipo kichani kwako. Kwa kuamini ujinga wa zito bila kushirikisha akili yako. Wapi CAG kasema serikali imepata bati chafu?
 
Mimi nafikiri kama kweli report ya CAG hatakiwi kuzungumzwa na Mawaziri hadi PAC na LAAC kwanza basi sote tunaojaribu kutoa maoni yetu kuhusiana na report hiyo tunakosea. Tusubiri hadi Kamati hizo zipitie zituletee taarifa ndipo tuwe na haki ya ku- comment kimyume na hivyo wote Zitto, Mawaziri na wengine wote tukae kimya. Sisi tukiongea hatuna tena haki ya kuwazuia Mawaziri nao watoe waliyonayo.
 
Kweli kabisa, price tag yake mpaka sasa ni Lowasa tu kaifikia.
Sijiui kwanini huko huwa wanakusahau au tuseme wanajisahaulisha.. ati hana price tag wakati umma wa Watanzania wameshihudia mchana kuupe jamaa akilamba zile ten.
 
Wonders shall never end! Mimi sio mchumi, ila sijaona HOJA HATA MOJA ALIYOJIBU KAFULILA. REPORTS ZA CAG Nazifahamu siku nyingi Enzi za Mzee Utoh, nimejifunza kuzisoma na kuzielewa, Sasa kwa akili kama yako,sitegemei uongee tofauti na ulichoongea. Hakuna jibu lolote KAFULILA alilotoa lililozima Hoja za Zitto! Tuache Uchama, tuwe objective kwenye vitu sensitive Kama hivi kwa sababu ndiyo maisha yetu, NI FEDHA ZETU! Tukianza kuweka ushabiki kisa Vyama vyetu Taifa hili litabaki hapa lilipo Karne na Karne! Change your attitude!
Ndugu yangu hii nchi inawatu wa ajabu sana, utapasuka kichwa kuwaelewa...
 
Hivi ndo umefika huku mkuu.Mambo ya msingi kushadadia kama simba na yanga??
Kweli siasa zinatufanya maslai ya Umma hatuyapi tena kipaumbele tunaangalia maslai ya pande zetu.
Ni aibu mkuu..roho inauma sana
 
  • Thanks
Reactions: kdc
Acha uzezeta wako, labda Wewe darasa la Saba tu, watu tulioko Field tunaelewa vyema kuwa, sasa hivi CAG anafanya kazi bila kumung'unya maneno tofauti na zamani ambako watu wa CAG walikuwa hata hawakagui kwani walikuwa wakiandaliwa vitita vyao mapema kabla ya ukaguzi. Leo hii Halmashauri zimebanwa hadi penati ni wachache sana kwa sasa wenye guts za kutaka tena kuhonga watu wa CAG maana hawajaiba kama zamani.
Hata hizo Kamati za Bunge ikiwemo LAAC zinafahamika michezo yao. Walikuwa wanapewa mafungu hata kabla ya kufika H/W but nowadays hakuna mwenye hela za kuwahonga.
Umesoma ulichokiandika?? Huyu ndio anasema eti yuko field , mungu shuka uone huu utahira wa wasomi wa Tanzania
 
Mbona hata huyu Barafu hana chochote alichojibu. Kafulila ameuwa hoja za Zito na wajinga wote wa ufipa.
hebu kwanza msaidie kujibu hizo hoja zilizoletwa na muandishi "" ili tuweze kuamini hicho unachokisema"" vinginevyo utaonekana ni "0 brain""" jibu kwanza hizo hoja"" maana ndivyo ambavyo mtu makin anapaswa kufanya"" nasio kutoa matamko nje ya topic kama ambavyo wewe umefanya"""
 
Acha uzezeta wako, labda Wewe darasa la Saba tu, watu tulioko Field tunaelewa vyema kuwa, sasa hivi CAG anafanya kazi bila kumung'unya maneno tofauti na zamani ambako watu wa CAG walikuwa hata hawakagui kwani walikuwa wakiandaliwa vitita vyao mapema kabla ya ukaguzi. Leo hii Halmashauri zimebanwa hadi penati ni wachache sana kwa sasa wenye guts za kutaka tena kuhonga watu wa CAG maana hawajaiba kama zamani.
Hata hizo Kamati za Bunge ikiwemo LAAC zinafahamika michezo yao. Walikuwa wanapewa mafungu hata kabla ya kufika H/W but nowadays hakuna mwenye hela za kuwahonga.
eti kuna mtu hiii hoja yako kaipinga tena mbaya zaidi kashangaa uwepo wako wa kuwapo field""" hahaaa hii nchi Ina watu waajabu"" aiseee. ,.sijawahi pata kuona"""
 
Mmeambiwa Na rais ekeni vyama pembeni mjenge nchi..kampeni zishapita ..Ila nashangaa ukweli ukiongelewa Na hasara tukipata wananchi kuna watu wanaanza kutetea vyama
nchi ya vilema wa fikira hii mkuu"" hupaswi kushangaa""
 
Mwenyekiti PAC awakosoa mawaziri wa JPM
pic+pac.gif

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka

Kwa ufupi
Kaboyoka amesema hoja za CAG zinapaswa kujibiwa na maofisa masuhuli na kurudishwa tena kwa CAG.

By Fidelis Butahe, Mwananchi fbutahe@mwananchi.co.tz
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka amesema si sahihi mawaziri kujibu taarifa ya ukaguzi ya CAG.

Akizungumza bungeni leo Aprili 16, bungeni, Kaboyoka amesema kilichofanyika sasa ni makosa kwa sababu ukaguzi huo umefanyika mwaka 2016/17.

Amesema kama ni ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha si sahihi waziri kueleza kuwa fedha zilizopotea zimeanza kulipwa, wakati ubadhirifu huo umefanyika mwaka 2016/17.

“Sasa leo tuhoji jambo moja, kama fedha hizo zimepotea hizi wanazoanza kulipa sasa wamezitoa wapi. Kama kulikuwa na cheni ya ulaji tutaijuaje. Hicho ndio kitu cha msingi. Hoja za CAG zinapaswa kujibiwa na maofisa masuhuli na kurudishwa tena kwa CAG ili ahakikishe kama kilichojibiwa ni sahihi,” amesema Kaboyoka.

Wiki iliyopita mawaziri waliitisha mkutano na wanahabari kujibu hoja zilizoibuliwa katika ripoti ya CAG.
hureeeeeeeeeee""" haya mko wapi nyie mapopoma wa Lumumba..."" hii article bado hamjaiona au""? kwa kuwa mmeumbwa kupinga tu"" basi hata hii mtaipinga nakujifanya kuwa hamjaiona"" Nina wasi wasi "" hii tabia yenu ikikithiri mnapo elekea mtawakana hata wazazi wenu kwaajili ya kuendekeza ubadhilifu

SHUBAAAMIT"""

Msororo69...tafadhali pitia huo waraka hapo juu""
 
hebu kwanza msaidie kujibu hizo hoja zilizoletwa na muandishi "" ili tuweze kuamini hicho unachokisema"" vinginevyo utaonekana ni "0 brain""" jibu kwanza hizo hoja"" maana ndivyo ambavyo mtu makin anapaswa kufanya"" nasio kutoa matamko nje ya topic kama ambavyo wewe umefanya"""
Majibu yapo kwenye majibu ya Kafulila kwa zito na ndio rejea yangu kujibu huu ujinga.
 
Ulemavu wa akili ni mbaya kuliko ulemavu wote maana angalao ulemavu mwingine huonesha upungufu wa viongo au jinsi viungo fulani vilivyogonjeka. Lakini ulemavu wa ubongo hujulikana tu mlemavu atakapoanza kunena au kutenda.

Kwa maneno ya huyu tumbili hakuna shaka, kwa sasa amekumbwa na ulemavu wa ubongo.
hahaaa"" mbaya zaidi ukiwa na ulemavu wa akili "" wewe mwenyew huwezi kujitambua kuwa unakasoro katika hicho kiungo chako muhimu"" watu watakapo anza kukwambia kuhusu "" hayo mapungufu yako"" utaanza kupaza sauti na kuwapinga""
mbaya zaidi"" kupinga kwko huko ndio itakuwa sababu ya kuwa"" wapelekea wao kuamini kuwa"" kweli umewehuka" ""

ccm hawawezi kuliepuka hili"""haki vile""
 
Mtoa mada.

hiyo documentary ya mama Winnie sijabahatika kuiona.

kama hutojali naomba uweke hapa masharti aliyopewa bwana Mandela, na alilokubaliana nalo.

Shukrani zitangulie.
akikujibu "" tafadhali ni tag "" mkuu"" mimi mwenyew naihitaji""
 
Majibu yapo kwenye majibu ya Kafulila kwa zito na ndio rejea yangu kujibu huu ujinga.
umeiona report ya mwenyekiti wa PAC lakini""jinsi alivyowajibu mawaziri au waongea tu""kama mtu aliyepumbazwa na ccm""
 
umeiona report ya mwenyekiti wa PAC lakini""jinsi alivyowajibu mawaziri au waongea tu""kama mtu aliyepumbazwa na ccm""
Umeiona na kuisikia taarifa ya Mwakyembe? Au umepumbazwa na ujinga wa zito na akili ya kianaharakati koko.
 
eti kuna mtu hiii hoja yako kaipinga tena mbaya zaidi kashangaa uwepo wako wa kuwapo field""" hahaaa hii nchi Ina watu waajabu"" aiseee. ,.sijawahi pata kuona"""
Watanzania wa sasa wengi ni waelewa wanajua kuwa report ya CAG ni mwiba kwa serikali na CCM kwa ujumla, wanachofanya kafulila na wenzake kwa ufadhili wa Naibu Rais Maliyamungu Bashite ni ufujaji wa pesa za Umma, pesa za walipa, hizo pesa anazitumia kuwalipa kafulila kuficha Ukweli ni mara mia wangezitumia kusaidia watanzania wengi wenye shida na wengine ni wagonjwa hawana msaada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom