ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jul 23, 2011 #41 dotto said: Like his name!!! my be !! Click to expand... true mkuu
apolycaripto JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 644 Reaction score 225 Jul 23, 2011 #42 Kwa sababu ya ongezeko la Ma-Rev feki kama wewe,jina unalotumia na maneno yako tofauti kabisa.Ukapimwe kichwa wewe!
Kwa sababu ya ongezeko la Ma-Rev feki kama wewe,jina unalotumia na maneno yako tofauti kabisa.Ukapimwe kichwa wewe!
Duble Chris JF-Expert Member Joined May 28, 2011 Posts 3,481 Reaction score 564 Jul 23, 2011 #43 kwani wote walioko CDM wanasikika eg SUGU Kafulila yuko makini ndiyo maana kila akichangia lazima muuongozo wa spika uombwe
kwani wote walioko CDM wanasikika eg SUGU Kafulila yuko makini ndiyo maana kila akichangia lazima muuongozo wa spika uombwe
U ugawafisi Senior Member Joined Jul 22, 2011 Posts 127 Reaction score 13 Jul 23, 2011 #44 kiukweli jamaa yuko sawa, anajenga hoja, ni mpambanaji ila si lazima kila mwanasiasa kijana na mwenye uwezo mkubwa awe cdm.
kiukweli jamaa yuko sawa, anajenga hoja, ni mpambanaji ila si lazima kila mwanasiasa kijana na mwenye uwezo mkubwa awe cdm.
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,542 Reaction score 59,327 Jul 23, 2011 #45 Rev Fr Masanilo said: Acha usenggggggggggggggggggg Click to expand... Mbona wanakutia majaribuni mchungaji? Ritz like his father (mkwe.re)
Rev Fr Masanilo said: Acha usenggggggggggggggggggg Click to expand... Mbona wanakutia majaribuni mchungaji? Ritz like his father (mkwe.re)
Ben Saanane JF-Expert Member Joined Jan 18, 2007 Posts 14,580 Reaction score 18,230 Jul 23, 2011 #46 ritz said: Mtu mwenye uwezo kama Kafulila ndani ya CDM ni Zitto Kabwe, peke yake! Hawa wengine ni mateka wa siasa tu! Click to expand... Ritz Naomba hapo kwenye red unitake Radhi...sijawahi kuwa na sitawahi kuwa MATEKA.So naomba uache matusi,stop generalizing issues!Kati ya vitu ninavyovichukia katika maisha yangu ya kisiasa ni hicho.So naomba usipende kuhusisha kila mtu
ritz said: Mtu mwenye uwezo kama Kafulila ndani ya CDM ni Zitto Kabwe, peke yake! Hawa wengine ni mateka wa siasa tu! Click to expand... Ritz Naomba hapo kwenye red unitake Radhi...sijawahi kuwa na sitawahi kuwa MATEKA.So naomba uache matusi,stop generalizing issues!Kati ya vitu ninavyovichukia katika maisha yangu ya kisiasa ni hicho.So naomba usipende kuhusisha kila mtu
Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 246 Jul 23, 2011 #47 BEN don mind,huyo ritz hana adabu hata kwa mama yake sembuse kwa mtu baki?