Kafulila amjibu mwenyekiti wa CCM

Kafulila amjibu mwenyekiti wa CCM

kwani kikwete amemuelewa kafulila? maana na yeye head yake mmh!

Big up Mhe Kafulila,

Umeema kweli. CCM wakibezaukweli huu shauri yao! Ila (CCM) wakumbuke kuwa sikumoja watakua Chama cha Upinzani. Wakitengeneza katiba ya mbovu itawaumiza wenyewe baadae na kutokana na uchache wao watashindwa kuibadili!
 
Lazima nikiri Kafulila alitoa hoja nzito ambazo haziwezi kupuuzwa. Anastahili sifa
 
Big up Mhe Kafulila,

Umeema kweli. CCM wakibezaukweli huu shauri yao! Ila (CCM) wakumbuke kuwa sikumoja watakua Chama cha Upinzani. Wakitengeneza katiba ya mbovu itawaumiza wenyewe baadae na kutokana na uchache wao watashindwa kuibadili!

ccm, kuanzia mwenyekiti wao kikwete hawana uwezo wa kufikiria hayo! they think like goats! wanafikiri watatawala milele!
 
JK alisema lini na wapi kuwa Jeshi litachukua nchi wananchi wakiamua Serikali 3? Mbona mnapenda sana kuzusha mambo?

wewe ndiye mtetezi wake? kaisiklize upya hotuba yake! ccm kazi yenu huwa ni kushangilia tu hamna muda wa kutafakari! kwa akili yako unaweza kusema kuwa JK wako hajawahi kusema hajui kwa nini tanzania ni maskini!
 
Tatizo vijana humu wanaposikia maoni ya wananchi sijui wanapata picha gani, wananchi huku vijijini hawako aware hata kama kuna muungano. Wananchi wako bize kupalilia mahindi, wanasiasa huku utasikia mi nimetumwa na wananchi wa ubungo, msitusingizie wanannchi parurareni wenyewe huko na ma agent wenu humu jf: bwahahaha!
Kijijini kwenu hawajasoma hata shule ya msingi, je watoto wao huwa wanaenda shule tarehe 26.4 na kama huwa hawaendi huwa wanaambiwa kuna nini? acha upimbi
 
JK alisema lini na wapi kuwa Jeshi litachukua nchi wananchi wakiamua Serikali 3? Mbona mnapenda sana kuzusha mambo?

hiyo hotuba yake mbona ina rundiwa rudiwa sana na kile kituo cha mashoga TBCCM, kamusikilize...
 
Unenayo yaweza kua kweli, maana hapa hapa Tanzania kuna waziri moja (jina lake halali silijui), alishindwa kujua nchi yake imetokana na muungano wa nini na nini.
Endeleeni tu kupalili mahindi ikiwezekana mpalilie hata mchicha, kesho tutakupeni uwaziri tena.
naakasema ziliungana mwaka 11964 na imeungana na Zimbabwe halafu ni waziri wa Elimu, ------- kabisa hebu litazame na ulisikilize......
 
Last edited by a moderator:
ukishakuwa mwanaccm lazima uwe mpuuzi tu! ccm wanadhani watatawala milele, so do kikwete! ndiyo maana kikwete akawatisha watanzania kuwa wakiamua serikali tatu jeshi litachukua nchi na sijui yeye atakimbilia wapi?! [/QUOTE

No, I beg to differ. Mimi ni mwana ccm, lakini siyo mpuuzi. Kuna hoja za wachache naziona ni nzuri, kuna hoja za ccm nazo ni nzuri. Nakubali pia kuwa, kuna makosa ccm tumeyafanya. La msingi ni kuunganisha mazuri yote kwa mstakabali wa taifa bila kutukanana, kupigana wala kuburuzana. Hayo yote ni kwa manufaa ya watoto wetu. Kwanza kwangu tatizo wala halikuwa katiba, bali ni utendaji mbuvu wa baadhi ya viongozi. Sote tutabaki watanzania katika boti moja, lenye mbao au litakalogawanwa mbao. Kazi ni kwetu sote.
 
1: kama kuna watu (ccm) ambao wanadai maoni ya watu 17000 juu ya kuwa na serikali 3 ni idadi ndogo sana ambayoyo haiakisi matakwa ya watanzania 46ml, je hawa wabunge 600 wanapata wapi nguvu ya kuwa na uwakilishi wa wananchi ili hali wao ni wachache zaidi kuliko hata hao waliotoa maoni juu ya kuwa na serikali 3?

2: Amehoji kama ishu ni kumtii mwl nyerere ambae hakuta kuvunjika kwa muungano,wamesahau kuwa mwl alikuwa anabadilika kulingana na wakati. Mf mwaka 1965 mwl alifuta vyama vingivlakini kulingana na mabadiliko yaliyohitaji mageuzi mwaka 1992 ni mwl uyohuyo aliweze kuwa na vyama vingi ambavyo alivifuta hapo mwanzo. Akauliza je mwl angekufa kabla ya kuanzishwa vyama vingi inamaana mpaka sasa kungekuwa na chama kimoja tu?

3: Viongozi waliopo madarakani leo wafanikishe kuwa na muungano mzuri zaidi wa serikali 3 kwakuwa hii nafasi walionayo hawatakuwa nayo tena miaka ijayo kwani ni dhahir wingi wao (ccm) utapungua hivyo watalazimika kukubali mabadiliko kwa shinikizo kubwa kitu ambacho kitazalisha muundo mbovu zaidi . Hili alitoa kama ushauri kwa viongozi waliopo madarakani kutumia hii nafasi kufanya mabadiliko mazuri tena kwa busara kuliko kusubiri presha hapo baadae.

4: Kama ishu ni mapato ya serikali ya muungano,amependekeza mapato yatokanayo na customs yote yawe ya muungano. Akafafanua kuwa zipo hoja kuwa kuna wanaodai ikiwa hivyo bara(tanganyika) italipa zaidi,akasema hilo sio shida kwani matumizi makubwa ya hiyo fedha yataelekezwavbara pia kwenye maeneo kama ya magereza,ulinzi,uhamiaji,polis nk. Akauliza wanaodai kuwa hili likitekelezwa watu wa bara watabeba huo mzigo,je kwa sasa ni kinani wanabeba huo mzigo?

5: Akaeleza kuwa tafiti zinaonesha kuwa muungano upo kwenye maeneo matatu ambayo ni ; serikali moja, serikali ya shirikisho na ile ya mkataba. Sasa hii yetu ni ya mfumo gani mbona haieleweke inafiti mfumo gani?

6: Akauliza kuwa kwakuwa muungano huu uliopo kwa sasa umedumu kwa takribani miaka 50, na umeshindwa kutatua changamoto zilizojitokeza kwa kipindi chote cha nusu karne, Je viongozi wanataka wapewe karne kangapi zaidi ili waweze kutatua hizi changamoto zilizopo?

7: Akafafanua zaidi kwa kusema wanaomhukumu jaji warioba wanamuonea. Akaeleza kuwa ukifanya tafiti na ukapata majibu kama ya wale walikutangulia kufanya tafiti maana yake ni kwamba hayo majibu ni sahihi. Sasa kwakuwa tume zilizomtangulia jaji warioba pamoja na wataalamu mbalimbali waliwahi kufanya tafiti juu ya muundo wa muungano na kuja na majibu ya serikali 3 inakuwaje leo wakatae hoja ya warioba ilihali inaendana na hoja za watangulizi wake kwenye jambo hilo?

8:Amehoji kama ofisi ya raisi,ya makamu wa raisi na ya waziri mkuu zote zilipendekeza serikali 3 inakuwaje tena ndani ya muda mfupi watu haohao wageuke na kudai serikali 2, au walitoa hayomaoni ili mwishowe waje wamdhalilishe jaji warioba?

9: Akaeleza kuwa yeye ni kijana mdogo lakini anamuheshimu sana jaj warioba. Akadai anashangazwa na watu wakawaida sana ( ambao ni wajumbe wa bunge la katiba - kwa mtizamo wangu lakini) ambao wanamdharau jaji warioba ilihali sio level yao kabisaa kwani jaji warioba yupo next level kabisa na anaheshimika ndani na nje ya nchi, hivyo inakuwaje watu wa kawaida sana wamtreat jaji warioba kwa kiwango cha chini sana ili hali yeye sio level yao?

10: Muundo wa serikali 3 ndio utakaotatua changamoto za sasa na zijazo,kuliko kufichaficha mambo kwa kisingizio cha serikali mbili kwani huko tuendako kutakuwa kigumu sana.

11: kasema chama tawala mna wasomi wazuri tu,maprofesa wengi tu hivi kweli wameshindwa kuliona hili.

12:...

- hivi Kafulira ni mbunge wa Chama gani maana nakumbuka mara ya mwisho alifukuzwa Chadema au sasa kwa kuwa anataka SErikli 3 ni mbunge wa Chadema tena? Kumjibu Mwenyekiti wa CCM hawezi maana hawafanani hoja Kafulira ni za kitoto sana na ni za kutengenezwa na wengi sana ndio maana baada ya kumaliza alipohojiwa nje ya bunge akaanza kujikanyaga kanyaga, ndio matatio ya kuandikiwa kila kitu!!

- Mwenye CV ya Kafulira naomba aiweke hapa tuone kama inafanana na ya MWenyekiti wa CCM, tusiandikie mat6e na wino upo!!

Le Mutuz System
 
Matumbo ya hao Maprofesa yana nguvu kuliko akili zao.
 
ukishakuwa mwanaccm lazima uwe mpuuzi tu! ccm wanadhani watatawala milele, so do kikwete! ndiyo maana kikwete akawatisha watanzania kuwa wakiamua serikali tatu jeshi litachukua nchi na sijui yeye atakimbilia wapi?! [/QUOTE

No, I beg to differ. Mimi ni mwana ccm, lakini siyo mpuuzi. Kuna hoja za wachache naziona ni nzuri, kuna hoja za ccm nazo ni nzuri. Nakubali pia kuwa, kuna makosa ccm tumeyafanya. La msingi ni kuunganisha mazuri yote kwa mstakabali wa taifa bila kutukanana, kupigana wala kuburuzana. Hayo yote ni kwa manufaa ya watoto wetu. Kwanza kwangu tatizo wala halikuwa katiba, bali ni utendaji mbuvu wa baadhi ya viongozi. Sote tutabaki watanzania katika boti moja, lenye mbao au litakalogawanwa mbao. Kazi ni kwetu sote.

kama kawaida yenu, wewe uanalalamika, kinana analalamika, rais na mwenyekiti wa ccm taifa, nape analamika eti baadhi watendaji wa serikali ni wabovu! mbona hamueleweki? mkuu wa serikali ni rais na sera zinazoiongoza serikali ni za ccm lakini mmeshindwa kuchukua hatua mnabaki kulalamika sasa kwa nini wanaccm wote msiwe wapuuzi!?
 
- hivi Kafulira ni mbunge wa Chama gani maana nakumbuka mara ya mwisho alifukuzwa Chadema au sasa kwa kuwa anataka SErikli 3 ni mbunge wa Chadema tena? Kumjibu Mwenyekiti wa CCM hawezi maana hawafanani hoja Kafulira ni za kitoto sana na ni za kutengenezwa na wengi sana ndio maana baada ya kumaliza alipohojiwa nje ya bunge akaanza kujikanyaga kanyaga, ndio matatio ya kuandikiwa kila kitu!!

- Mwenye CV ya Kafulira naomba aiweke hapa tuone kama inafanana na ya MWenyekiti wa CCM, tusiandikie mat6e na wino upo!!

Le Mutuz System

cv ya mwenyekiti wa ccm ina nini jipya? kiongozi asiyejua kwa nini nchi yake anayoitawala ni maskini? kuna tofauti gani na kuweka koti kwenye kiti cha general manager kisha ukajisifia kuwa una bonge la manager?
 
Wanaotaka kuhakikishaa ile idadi ya waliohojiwa na warioba (17,000) na kupendekezaa serikali tatu wafuatile video za majadiliano zipoo maana naona maandishii ya ripotii hawayatakiii.
Ila Jamani kwa nini hili pendekezo la serikali TATU linapingwaaa kwa nguvu sana na watawala na VIBARAKA WAO???? Kulikoniiiiii???????

Nadhani hili swali lako hapa ni la msingi sana. Kuna kila sababu ya kutafuta majibu yaliyofichwa kwenye hii dhana ya serikali 3. CCM wanaogopa nini hasa ikiwa dhana hii itaonekana ndio suluhu ya taifa hili la Tanzania?
Bado kuna ombwe kubwa katika kuielezea vema hii kitu.
Katiba walioipendekeza CCM wanataka kutumia msuli mkubwa kuhakikisha inakubaliwa na watanzania wengi.

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ndo shida ya watoto haramu. Mzee Malecela alisingiziwa tu mtoto huyu, haikuwa mbegu yake. Matokeo yake kichwa cha huyu mtoto ni Ulojo mtupu.

Ingekuwa rahisi mzee Malecela angekuwa ameshalikataa hili toto

- hivi Kafulira ni mbunge wa Chama gani maana nakumbuka mara ya mwisho alifukuzwa Chadema au sasa kwa kuwa anataka SErikli 3 ni mbunge wa Chadema tena? Kumjibu Mwenyekiti wa CCM hawezi maana hawafanani hoja Kafulira ni za kitoto sana na ni za kutengenezwa na wengi sana ndio maana baada ya kumaliza alipohojiwa nje ya bunge akaanza kujikanyaga kanyaga, ndio matatio ya kuandikiwa kila kitu!!

- Mwenye CV ya Kafulira naomba aiweke hapa tuone kama inafanana na ya MWenyekiti wa CCM, tusiandikie mat6e na wino upo!!

Le Mutuz System
 
The above statement, by virtue of the Republic of Tanganyika and the Republic of Zanzibar People, shall be hereby accepted by the majority in the society.

On behalf of my family and every individual under my authority, I , DONNYANGAKA with sound mind and and free will , I here by swear that I acknowldge the honorary doctorate of Mr David Kafulila and without any prejeduce I here by disqualifying the doctorate and professorship of Mr Vasco Dagama effectively from now
 
Back
Top Bottom